Saturday, March 24, 2012

HAPPY BIRTHDAY BONGO MOVIE 2

 Wadau kama nilivyowaambia kuwa kuna matukio kibao bado sijawatupia mapicha ya kutosha katika party ya kijanja ya vijana wenu wa Bongo Movie club ulifikika muda wa wasanii wa Bongo Movie kupewa tuzo kwa uvumilivu na kijitoa kwa asilimia mia katika club kwa kuifanya iwe  imara madhubuti na wasanii wake kuwa na upendo wa kweli na kuhakikisha umoja unadumu daima unaambiwa kuwa umoja ni nguvu utengano ni dhaifu tunamuomba Mungu hatupe maisha marefu katika umoja wetu kama mnavyomuona kijana wenu The Greatest nikipata tuzo yangu vijana wengi upenda kuniita Mr Bongo movie kwa sababu mastaa wengi mnaowaona wametoka katika mikono yangu ila kwa bahati mbaya binadamu tumeumbiwa kusahau...

 Steve Nyerere akipoke tuzo toka kwa mgeni rasmi Riz One Kikwete

 Huyu ndiye Mume wa Dada yetu Catty Rupia anaitwa Rupia mwenye fulana ya mistari meusi yeye ni mdau wa karibu sana wa Bongo Movie club amekuwa akitoa misaada mingi tu kwenye club yetu tunashukuru kaka naye akipata tuzo kama shukrani zetu kwake

Mama Lolaaaa mlezi wa Bongo Movie naye akipata tuzo yake alifurahi sana kwa kuona vijana wake wanavyomthamini
Muwakilishi kutoka kampuni ya Steps wasambazaji wakuu wa kazi zetu Bwana Jay naye akipokea tuzo kwa kazi nzuri wanazozifanya

 

Muda wa burudani ukaanza kama mnavyowaona vijana wakilisakata dance Richie pamoja na Mainda Band ya Mashujaa inawatafuta ili wapate ajira

Mwanamuziki wa kizazi kipya Barnaba akitoa shoo ya nguvu

William Mtitu mkurugenzi wa 5 Effect alikuwepo na shemeji yangu nyuma yake

Mambo yanapamba moto jamani

Steve Nyerere akipambana na mwanamuziki wa Mashujaa Band Chalz Baba
Kingunge Torres aliyevalia nguo nyeupe
Wacaha weeee Omarry Kimosa

Sajenti

Robby One pamoja na Ncha Kali wa Clouds Fm kulia
Muda wa msosi ukafika

Sajent na Hartman makamo mwenyekiti wa Bongo Movie club


Watu wakipata misosi ya nguvuOdama na Johari

6 comments:

Anonymous said...

U GUYS U NEED TO GROW UP HASA WEWE RAY NIMEGUNDUA KWANINI KANUMBA KAJITOA KATIKA CLUB YENU TOKA LINI MTU UKANDAA TUZO ALAFU UKAJIPA MWENYEWE??NINYI NDIO MMEANDAA TUZO ALAFU MKAJIPA WENYEWE NA KUWAACHA WASANII WADOGO WASIO NA KIPATO KATIKA CLUB YENU NI UPUUUUZI MTUPU

Anonymous said...

wewe RAY..COLD BLOOD KILLER,JEALOUS JEALOUS JEALOUS,UMEMTUMA LULU AMUWEKEE SUMU KANUMBA ILI AFE..HAYA KAISHA KUFA TUKUONE WEWE KAMA NDO UTAISHI MILELE AU UTAFIKIA MAFANIKIO YAKE,HUYAPATI NG"O NA HIVI ULISIKIA ANATAKA KWENDA MAREKANI NDO UKAONA UMMALIZE MWENZIO KWA DAU KUUUBWAAAAAA HABARI ZOTE TUNAZO KAA MKAO WA KULA.

Anonymous said...

Ray Watu watasema mengi usiogope ni kawaida wasiposema midomo itanuka.Mwombe Mungu akupe ujasiri wa kuyashinda yote. Mungu ni mwaminifu ukimwomba.Wewe ndio unaejua ukweli so mwachie yeye alie juu lika kitu kinakuja na kupita.Tulimpenda Kanumba lakini ndo muda wake umekwisha nasi tunaelekea huko.Na hukumu yetu ni Mbinguni hakuna mtu awezae kuhukumu ispokuwa Mungu mwenyewe.KEEP GOING RAR THE GREATEST.

Anonymous said...

i had three movie artist in tanzania kanumba, ray en monalisa. now only two remained ray en monalisa. pleaseeeeee msiniangushe mna mambo mengi ya kutufanyia ktk hii tasnia. mnakumbuka you two were kanumba's role model hata kama mlikuwa mmegombana put that aside tunahitaji burudani toka kwenu kugombana ni kawaida NAOMBA MWAMBIE NA MONALISA NAWAPENDA SANA. najipanga kwenda kinondoni makaburini nikathibitishe ukweli kwamba kanumba THE GREAT hatunaye tena.naenda this jumamosi UTOMASO MUHIMU

Anonymous said...

Kanumba was the only True Actor in tanzania

Anonymous said...

jaman kanumba nikazi ya mungu ray endelea mbele mungu ndiye atakaye mkulinda muamini yeye