Monday, March 12, 2012

PRINCIPLES OF WOMAN

 Kama kawaida ya kampuni yako ya RJ Company kusikiliza wadu mbalimbali na kupata jina ambalo mwanzo kila mtu alitoa mawazo mbalimbali na kupata jina kamili ambalo ni PRINCIPLES OF WOMAN asante wadau wangu tuko pamoja nawashukuru pia na hata wanaonichukia maana naona msg nyingi za matusi lakini hapa ndipo huwa nakumbuka ustaa ni gharamna uwezi kupendwa na watu wote..

 Nikiwa on set nikiwajibika na kazi zangu za kila siku kuna mdau mmoja alisema heti kwanini wewe Ray kila siku unacheza cinema inashangaza sana jamani mbona uwaulizi watu kwanini kila siku wanaenda kazini maana si ndio kazi zao au tuulize kwanini kila siku Koffi Olomide anaimba, sijajua baadhi ya wabongo wanataka nini? lakini kuna mwalimu wangu mmoja aliniambia kuwa uwezi kumridhisha kila mtu na ukitaka kufanya hivyo basi wote utowaridhisha

 New Actrees anaitwa Careen, mwaka huu lengo langu kubwa ni kukuza vipaji vipya huyu ni mmoja wapo

 Sehemu ya kubadilishia nguo baada ya kumaliza scene

 Mambo ya kutengeneza mvuto katika picha nikifanyiwa make up

Vijana kazini cheki watu walivyo bussy Mambo yakipamba moto

 Baba na Mwana on set napendaga kuandika hivi kwa sasbabu Lulu upenda kuniita Baba

 Nargis akiwa mzigoni

 Kijana wangu Siza katika mzigo huu kacheza kama Producer kafanya makubwa ndani ya mzigo huu mnamkumbuka kwenye My Dream

 Akipiga picha na kaka yake The Greatest

 Studio kabla ya shooting kuanza

 Cheki mwenyewe maunjanja hayo niko mbali sana wadau katika swala zima la production

 Asante sana mwanangu Lulu jamani mwanangu sasa kakua miaka kumi na nane

 Kijana kazini

 Mapinduzi makubwa ndani ya mzigo huu

 Hii scene tumeipiga usiku lakini cheki tulivyoitengeneza jioni ya saa kumi na moja hivi


16 comments:

Anonymous said...

Mkuu Ray upo juu.Hongera sana kwa maendeleo hayo. Baadhi ya wa Tanzania huponda sana kazi zenu lkn hakuna kukata tamaa.Hayo madongo yao yachukulieni kama Challenges.

Dismas Hiza
Administrator(www.tulonge.com)
0713 520 629

Anonymous said...

kaka mmi napenda sana sanaa ila sijabahatika kutoka tafadhali nipe kampani please

Anonymous said...

jamani Lulu ana 18 nakubali lakini jamani Ray hako katoto umekaona toka kadogo leo hii unakakumbatia ivo hushtuki???? jamani nasikia woga dah!!!!!! anyway na miaka inaenda watu wanakua na kazi ndo hizi za mkate wa kila siku. nipo nje ya Bongo km kawa ntapambana mkp niipate hii move

Anonymous said...

Ray, kazi nzuri...ila ni Principles of a woman.

melisa said...

sijapeda kabisa jinsi ulivyo act na lulu inamaana umeact kua lulu ni mpenzi wako au??? sijakupata kabisa, mmmmh kama umeact lulu ni mpenzi wako basi hayo makubwa na ni bonge la aibu aiseeee

Architect said...

Nitapenda kuiona hii maana inaonyesha mautamu kibao tu!sijuhi huko ndani lakini MH!Tuishie hapo na niwapongeze tu!

Anonymous said...

mh, unamsifu Lulu kakua ili umfanyaje? yani inaonyesha kabisa unamtamani loh, kama kuku ulokua unamfuga ili akue umchinje. ungempa scene ya ustaarabu c hivyo. eti anakuita baba. na we unasema mwanangu huku mnabusiana kwa namna hio........loh sio ustaarabu. haribu hao hao kina.........

aibu hata sikusupport

mkorofi said...

haya tunasubiri tununue za mtaani bukubuku tunaangalia, ikishindikana tutaangalia kwenye banda la video mia tu. heheheh kazi bongo bhana!!!

Anonymous said...

Ray usihofu hayo unayoyaigiza ndiyo yanayofanyika kwenye jamii jibaba kutoka na vitoto vidogo,kumbukeni kazi za sanaa ni kufundisha,kuburudisha,kuonya na kuonyesha mambo yanayoendelea katika jamii zetu,hala hala tu na wewe usije ukafanya kweli.

Anonymous said...

kwa mtoto uliyemlea kama lulu tangu mdogo leo unacheza naye kama mpenzi haipendezi umweke sehemu nyingine au kwa kuwa sio ndugu yako kuwa na aibu mkuu je ingekuwa mwanao ungecheza nae kama mpenzi kwako kwa sababu tu ana miaka 18

Anonymous said...

yakh....i think i'm going to throw up....whats this

khalidi athumani said...

Sana kaka umefanya kazi nzuri mno i'm your fun yani nakukubali sanaaaa..

khalidi athumani said...

sana kaka ray upo juu kazi nzuri nakukubali sanaa.

Anonymous said...

mh hii imeshatoka Ray?! i cant wait to see it baada ya tukio la lulu na marehemu kutokea sipati picha watu teh teh

Anonymous said...

nikicheki hizi picha na kusoma comments kireflect yanayomsibu lulu sasa........ daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!ila Mungu atamsaidia i think she is innocent

Anonymous said...

movie hii nzuri sana ila maadili ya lulu hayafai kabisa mwambieni bas kuwa miaka kumi na nane sio kisingizio cha kufanya hayo mambo ila kwa ujumla big up sana ray the greatest