Saturday, March 24, 2012

COVER LA SOBBING SOUND

Wadau cover la SOBBING SOUND ndilo ilo hapo mnaloliona sasa wewe mwenyewe utasema vichwa vitatu katika mzigo mmoja ni hatari sana haya twendeni chini muone behind the scene za SOBBING SOUND

17 comments:

Anonymous said...

AISEEE

NAOMBA NIMPE HINGERA NYINGI HUYO ALIYEFANYA ARTWROK HII.Prince Sab.

Anonymous said...

kaka watu wanaongea sana,, KUWA SERIOUS ZAIDI YA HAPO UWAZIBE MDOMO......
kama kawada yako HARD WORKING PAYS
MATUTU,, SIO SIRI NATAMANI KUCHEZA FILAM NA WEWE NIPE NAFASI AFU UONE NAPENDA SANA KAKA
MATUTU

ZAMARADI said...

we hujaguswa na msiba mbona hutoi chochote humu .

Anonymous said...

ray nilikuwa fan wako mkubwa lakini kwa hili nimekushusha thamani,unabef hadi na mait?kweli ray hata kuweka post ya swahiba wako umeshindwa?usiseme uko busy pls.blogger wote wamepost except u.mmh usinifanye niwaze vinginevyo

Anonymous said...

RAY, ACHA JANJA YAKO, UMETOA PICHA ZA LULU HARAKA HARAKA. KWANINI USIZIACHE? NINA UHAKIKA UTAKUWA UMEJIFUNZA MENGI KWENYE HUU MSIBA WA KANUMBA IMEKUONYESHA NI KIASI GANI KANUMBA ALIKUWA MTU WA WATU NA KAMWE HAUWEZI KUJIFANANISHA NAE. KWANZA KWA MAMBO 2 MADOGO. KANUMBA ALIKUWA ANAJIAMINI SANA NA ALIKUWA MUWAZI NA MKWELI TOFAUTI NA WEWE. JAMBO LA PILI KANUMBA ALIKUWA ANA KIPAJI NATURAL CHA KUIGIZA TOFAUTI NA WEWE. WEWE UNATUMIA NGUVU SANA KWENYE KUACT MPAKA UNAONEKANA KABISA KWAMBA UNAIGIZA. CHUKI ZAKO PIA ZINAHARIBU BADALA YA KUJENGA.

Anonymous said...

POLE SANA RAY KWA KUONDOKEWA NA SWAIBA WAKO AMBAYE NI KIPENZI CHA WENGI. NAWE JIFUNZE TOKEA HAPO KUWA MZURI KWA WATU ACHA MAJUNGU, KUWA SERIOUS NA KAZI YAKO NA USIWEMBAGUZI. KANUMBA ATAKUMBUKWA MILELE. NA SIDHANI KAMA KUNA MSANII ANAWEZA ZIBA PENGO LAKE, ALIKUWA WA KIPEKEE KWENYE TASINIA YA USANII. JIFUNZE UNYENYEKEVU KWA WATU NA EPUKA SKEND, NAJUA HUTAWEZA KUMFIKIA ILA ANGALAU UWEZE KUKUBALIKA. MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI

Anonymous said...

Pole Ray kwa kuondokewa na rafiki yako, ulimpenda lakini MUNGU amempenda zaidi.

Anonymous said...

Ray usikatishwe tamaa na maneno ya watu hapo juu. Mimi nafahamu wewe na Kanumba mlikuwa marafiki wa dhati. Si lazima uweke kitu ndio watu wafahamu uchungu uliopata kwa kuondokewa na rafiki yako. Ninacho omba uongeze juhudi ili movie za bongo ziendelee kuwa juu, hili ndio jambo pekee utakalo weza kumuenzi nalo swahiba wako.

Anonymous said...

ray, its sad hujaweka hata post ya msiba, anyway labda ume move - on! i hope u know what ur'e doing cause if not, utapotea kwenye hii tasnia yenu. me i dnt like movies zenu cause mnacopy za nigeria but rumors has that ur're the most boring actor! keep up whatever ur'e doin.

Anonymous said...

Kifo cha Kanumba ni big blow kwa industry ya filamu. Sikumjua vizuri na pia sikutazama sana movie zake lakini from what I can gather he was a very good actor. Na pia ni mtu mwenye moyo mwema sana. Ray, huonekani kama una moyo wa Kanumba. Jifunze mengi mazuri kutoka kwake. Nadhani katika filamu wewe na Kanumba mlikuwa up there, sasa umebaki peke yako. Kila mtu anakuangalia wewe. Jitaidi sana kuwa mfano mzuri kwa wasanii wengine. Fanya kazi kwa bidii, na waheshimu wote - wasanii wenzako, fans wako na watu wote wanaokuzunguaka. Ukiwa hivyo daima utafanikiwa.

Anonymous said...

KWELI NIMEKUBALI BINADAMU NI WA AJABU SANA...... HIVI UNAWEZA KUFIWA NA MTU WAKO WA KARIBU THEN BADALA YA KUSHUGHULIKIA MSIBA UNG'ANG'ANE NA POST PICHA ZAKE KWENYE BLOG YAKO...
NADHANI HATA KANUMBA ALIPOKUWA BIG BROTHER INAWEZEKANA NAE PIA MLIMDISI HIVYO SISHANGAZWI...
NA MNAFIKIRI KUPOST PICHA ZAKE KWENYE BLOG AU FACEBOOK AU TWITTER NDO KUDHIRISHA UPENDO KWAKE. HEY GUYS THINK BEYOND AND DONT JUDGE SOMEBODY BCOZ YOU DONT KNOW YOU POSITION FROM ALLAH..
AND IF YOU RAY HATES KANUMBA ONLY GOD KNOWS AND NOT YOU..
MR. VICENT BE STRONG THIS IS TIME TO DEFINE YOU TO THE WORLD BEFORE THE WORLD DEFINE YOU..
EMMA MATUTU FROM SAUT MWANZA

Anonymous said...

April 11, 2012 9:43 kwa kweli watu huwa hawafikirii mara mbili kabla hawajaandika , na kila mtu alimwona akiwa busy na msiba .
JAMANI WALIMWENGU HAMNA WEMA . MSINGEMWONA PIA MNGESEMA TUUUUUUUUU.

kEEP GOING RAY YAWANADAMU HUTAYAWEZA.

Anonymous said...

HAKUNA KITU KIBAYA KUFIWA NA MTU AMBAYE ALIKUWA RAFIKI YAKO BAADAYE MKAGOMBA KWA WIVU MKASHINDWA KUOMBANA MSAAMA MBAKA MOJA WENU ANAINGIA KABURINI.BILA KUOMBA MSAAMA IM SURE RAY ITAKUUMA SANA MAISHANI MWAKO.UTAKUWA UNASEMA I WISH NINGEFANYA HIVI I WISH INGEKUWA HIVI IS TOO LATE.

Anonymous said...

HANA LOLOTE KANUMBA KAFA LINI LEO NDO ANAWEKA HABARI,WATU WOTE WAMEPATA HABARI KUTOKA BLOG NYINGI YY KM SWAHIBA KIMYAAAAAAAAAAAAAAA. AMAEJIFUNZA KWAUKWELI AONE.

Anonymous said...

Keep up ray

Anonymous said...

ray usijali maneno ya watu hata kwenye kanga yapo,kaza buti,hao wanaobweka ndiyo wanaonunua kazi zako kama siyo wao na mimi ungependeza hivyo na ungepataje umaarufu km siyo sisi,achana nao magendaheka

Anonymous said...

Mungu aipokee roho ya marehemu Steven Kanumaba.Amina