Wednesday, July 11, 2012

BONGO MOVIES UNIT & BONGO FLEVA KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI


Kama kawaida ya Bongo Movie ushindi kwao ni jadi yao baada ya kuwafunga Bongo Fleva bao moja kwa bila katika tamasha la Matumaini katika harakati za uchangiaji wa ujengaji wa mabweni kwa wanafunzi wanaosoma vijijini, Jamani hii club ya Bongo Movie imekuwa ikijitoa sana katika kazi za kijamii basi serikali kazi kwenu nanyi kuangalia kazi zetu na kutetea maslahi yetu....

Bongo Movie Unit wakiingia katika Uwanja Taifa kwa ajili ya pambano lao na Bongo Fleva

Tukiwa kwenye vyumba vya wachezaji.

Bongo Movie

Barafu..

JB Mwenyekiti wa Bongo Movie Unit.

Bongo Fleva wakijiandaa kuingia uwanja kwa ajili ya pambano lao na Bongo Movie

Tukisubili mpambano kwa hamu kubwa saaaana

Washabiki wa Bongo Movie wakishangilia

Dokii akifanya mambo ndani ya Uwanja wa Taifa..

Ulifika muda wa wachezaji wote kuingia uwanjani kama mnavyoona The Greatest nikiongoza jahazi nikiwa timu kapten wa Bongo Movie

Nyerere The Power na Cloud..

Tukinyoosha viungo...

Tukipeana mikono na Mheshimiwa Iddi Azani.

Hili ndio bench la ufundi la Bongo Movie .

 

Bongo Fleva ikiongozwa na H-BABA.

Baada ya kumaliza hatua zote tuliweza kupeana mikono wachezaji kwa wachezaji kama ishara ya michezo ni upendo..


Kikosi cha mauaji cha Bongo Movie.....

Hiki ni kikosi cha Bongo Fleva.

Makapteni tulipata picha ya pamoja na marefa

Kiduko mfungaji wa bao pekee la kwanza lilodumu mpaka kipenga cha mwisho ambapo Bongo Movie kuibuka kidedea kwa ushindi wa bao moja kwa bila

Bongo Movie wakishangilia ushindi kwa mbwembwe..

Hatariiiiiiii saaaaana
JB akiongea machache na Mwandishi.

Furaha ilitawala uwanja mzima..

Mmeona......

Katibu wa Bongo Movie Cloud akimkabidhi mfungaji wa bao pekee la Bongo Movie mpira mpya kama zawadi kwa nzuri aliyoifanya.

6 comments:

Anonymous said...

Wanadafada wa bongo movie hamkwenda nao? Kama hawakuwepo uwanjani haipendezi wanatakiwa wawepo ili kutoa Support kwa wenzao kwa kuwa nyie ni kikosi kimoja kama walikuwepo mchape kofi mpiga picha wako

Anonymous said...

HONGERA SANA RAY KWA KAZI NZURI.TUNAFURAHI SANA KUTUPA TAARIFA KAMA HIZI HONGERA BONGO MOVE MPO JUUUUUUU.RAY KUNA MKANDA WOMAN OF PRINCIPAL WAPI SIONI HATA KWENYE BLOG YAKO.TUNAIHITAJI NA TUNAISUBIRI KWA HAMU MLICHEZA NA LULU.NAPENDA SANA MIKANDA YAKO YA MOVE WEWE NI MKALI.BY MWANAISHA

Anonymous said...

NAPOST COMENT MARA NYINGI LAKINI HUWA SIZIONI KAKA INAKUWAJE AU NAKOSEA NATUMA SANA COMENT ZA USHAURI NA KUKUPA MOYO KATIKA KAZI ZAKO.LAKINI COMENT ZANGU SIZIONI.MIMI NAOMBA CHEZA NA WEMA HATA PICHA MOVE YAKO MOJA TU.PLEASE PIA USISAHAU KUINUA NA KUENDELEZA VIPAJE VYA KINA OTHUMAN NJAIDI,SOPHIA,JENEPHA PLEASE KAKA RAY KWANI WEWE NDIO TANZANIA NZIMA INAKUANGALIA SASA HIVI KATIKA UKANDA WA MOVE.CHEZA NA WANAIGERIA PIA.BY MWANAISHA.

Anonymous said...

JAMANI BONGO MUVI MMEZID KUNEEPEANA NDO MAANA MMESHINDWA FANYENI DIET KIDOGO

Anonymous said...

hongera brother ray kwa kazi nzuri.

Anonymous said...

wakaka matumbooooooooooooooo jamani hampenzezi kabisa na hivyo vitambi ninyi wasanii bana mnatakiwa muwe na mvoto mwenzenu marehemu alisikiliza ushauri wapenzi wake.