Friday, July 27, 2012

TAMASHA LA UZINDUZI WA HAKUNA JIPYA YA MASANJAKama kawaida ya Bongo Movie ushirikiano kwa ni jadi yao, Waliuvamia mkoa wa Iringa kwa ajili ya uzinduzi wa album inayokwenda kwa jina la Hakuna Jipya iliyoimbwa na mwanachama wa Bongo Movie bwana Masanja Mkandamizaji, hongera sana kwa kazi nzuri ulioifanya na kumpokea Yesu Kristo Mungu akutie nguvu ili usitetereke na ya Dunia kwani hatujui siku wala wakati...

The Greatest ndani ya Mkoa wa Iringa..
 Mashabiki wangu walifurahi sana baada ya kumwona kijana wao anayewapa mafunzo na kuwaburudisha, hapa wakinipa mkono nami sikusita kuwa salamu ya nguyvu kwani bila wao hakuna The Greatest.


Jenifer Kiyaka(Odama) na Recho Haule ndani ya Iringa katika uzinduzi wa Masanja ukipenda pia waweza kumuita Mchungaji mtarajiwa , jamani album ya Hukuna Jipya ipo mtaani tumuunge mkono na tuache kununua kazi feki kwani kufanya hivyo ni kumnyonya msanii..

Juma Chikoka(Chopa) na Kupa wakiufatilia uzinduzi huo.

Richie na Mariam Ismail

Jack Wolper na Mama Herieti.

Davina.

Cath na Devota

Chiki Mchoma akiwa na Odama.

The Greatest nikiwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie Unit JB tukilifurahia jambo flani hivi wadau wangu

Irene Uwoya.

Nyerere The Power na Batuli(Neshi) kwenye pozii..

Hii ndo meza ya mgeni rasmi aliyevalia suti nyeusi Mheshimiwa Philp Mugulo Naibu Waziri wa elimu na mafunzo  akiteta jambo.

Mda ulifika wa Msanja Mkandamizaji kutoa show kali katika albam yake ya injili, jina ya album Hakuna Jipya

Masanja akikamua stejini

Muda wa kusoma risala ulifika na mwenyewe Masanja ndiye aliyesoma risala hiyo akiwa na vijana wake wa kazi hongera sana kaka
The power naye akuwa nyuma kumpa tafu ndugu yake Masanja

Ulifika muda wa Bongo Movie kuvamia jukwaaa
Timu nzima ya Bongo Movie jukwaani

Ratiba zikiendelea.


        
 Nawashukuru sana wakazi wa Iringa kwa jinsi walivyonipokea na kunishangilia sana.

        
Uwoya aliweza kuongea machache.

    
Coreta.

  
Chopa

Kama kawaida yetu tuliacha historia  kwa kufanya show kali .


Mgeni rasmi Mheshimiwa Philp Mulugo Naibu Waziri wa elimu na mafunzo akipanda stejini tayari kwa hotuba

Mgeni rasmi akiongea machache juu ya uzinduzi huo..
Tukiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi.


Dada wa Masanja naye alikuwepo kuhakikisha akiaribiki kitu ni Mbunge huyu dada kama sikosei

Tukipata sala kwa pamoja.
Uzinduzi ukifanyika.

Mwenyekiti wa Bongo Movie akiongea machache na kuwashukuru wakazi wa Iringa.

Msanja akimzwadia JB album ya hakuna jipya.

Show ilikwisha na vijana wa Iringa walipata bahati ya kupiga picha na wana Bongo Movie

2 comments:

Anonymous said...

hongera na kila la heriMchungaji mtarajiwa(Masanja)

Anonymous said...

Napenda umoja wenu, mnatia raha.