Sunday, July 1, 2012

TAMASHA LA GRAND MALT LILOFANYIKA TANGA

 Kawaida ya Bongo Movie kufanya kazi za kijamii ni kawaida yao, timu nzima ya Bongo Movie walivamia mkoa wa Tanga katika tamasha kubwa la Open Film Festival linaloandaliwa na kampuni ya Sofia Production. lakini mbali na tamasha hilo bongo Movie alitembelea hospital ya Bombo kwa ajili ya kuwaona wagonjwa pamoja na kutoa misaada mbalimbali acha tuone mambo yalivyokuwa..

Timu ya Bongo Movie wakiwa tayari kwa  ajili zoezi zima kuanza..

 Wana Bongo movie wakiwa wanjiandaa kwenda hodi za wamama wajawazito.

The Greatest nikiwa na Rose Ndauka.

 Watoto mapacha.

 Odama akimtazama mtoto aliyezaliwa karibuni.

 JB akitoa chandarua kwa mama mlezi.

 Tukifunga chandarua

Baada ya hapo tuliekea kwenye tamasha..

 
 Wakazi wengi wa Tanga walifurai sana kutuona.

 The Greatest nikiongoza msafara

 The Greatest nikiwa na Cloud na Mwenyekiti wa Bongo Movie.

 Mgeni rasmi wa katikati akiwa na wadhamini wa tamasha hilo

 Recho Haule na Richie.

 Sandra na Odama.

 Hatman akiwa kwenye pozi...

 The Power.


 Watu walikuwa ni wengi sana.

Bongo Movie katika stage kusalimia wananchi wa Tanga waja leo kuondoka majaliwa.

Kazi imeanza

 
 Nikipiga kinanda..

Mc Chiki Mchoma..

 Odama akitoa show kali.

 Wacha weweeeeee.Rachel haule

 Cloud

 Richie

 Ulifika mda wa The Greatest kufanya show.

 Watu walishangilia sana.


 Kupa akikamua.

 Uwoya aliweza kutufungia show yetu.

Mgeni rasmi akitoa hotuba kuhusu tamasha

 
 Mgeni akiongea machache baada ya Bongo Movie walipomaliza kufanya show

Meneja masoko wa Grand Malt naye akiongea yake machache

 
 Cath na Mariam.


Mambo yakiendelea

10 comments:

Anonymous said...

good good ray, ndo nakwambia siku hizi ume improve sana(sasa usilewe sifa).Chukua ushauri wa maana kwa wadau utafika mbali

Yani mastaa mpo kibao hapo but a wise person can just tell star kweli ni yupi. Unawaona tu mnavyokuwa unique especialy you.
Huku umenifurahisha umetupia mambo mchanganyiko umetoka young, smart and very desent

Fata ushauri wa wateja wako, i hope utafika juu na juu. Swala la kujiendeleza kwa kile unachoona kitakuboost usilionee uvivu, ma training na courses za kukuendeleza we jichanganye tu, muda ndo huu

Upo juu ndugu yetu na wasanii wenzio muhimizane msiridhike mkabweteka jamani na amri za muumba mzikumbuke ndo mtafanikiwa zaidi

shongololo said...

Bongo movie mpo juu . mmependeza na hongereni kwa shughuli za kijamii. Wote mmpendeza ila We Recho haule hiyo picha uliyopo na Richie unaficha mapaja na pochi kwa nini ulivyovaa hiyo nguo hukujua unakoenda?? Si unapenda kuonyesha mipaja yako wewe ??

Anonymous said...

dhumuni la tamash llkuwa nn??
apart frm social corperate respomsibilty from BONGO MOVIE CLUB
by overacting

Anonymous said...

kazi nzuri sana Ray hasa maswala ya kusaidia jamii. But frankly speaking ninyi ni team na mna umoja basi muutumie umoja huo kukosoana Wadada walivaa vizuri sana kasoro Rachel na Irene Uwoya. but angalao irene Uwoya mapaja yake ni mazuri compared na ya rachel. kwa kweli ni kichefuchefu, ukizingatia mlikuwa Tanga, angevaa kama wadada wengine leg in au skin jeans mbona wamependeza halafu akiwa kwenye mitoko yake ndo avae nguo zake fupi. mimi niliyotoa hii comment ni mwanamke hivyo naelewa sana wapi uvae nini na kwa nini. Please work as a team katika kila kitu.

Anonymous said...

Nawapenda sana bongo movie nakushauri uandike namba za simu ili iwe rahisi kuwapa mialiko au wadau kama mm na wengine iwe rahisi kuwa karibu na nyie namshukuru mungu kanipa uwezo wa shillingi mbili tatu na umri nilionao itapendeza saaana kama nitakuwa mmoja wa supporter wenu katika Industry hii ya Movie. Hongereni sana kwa Umoja ila kuna msanii nampenda sana anaitwa Batuli sijui jina lake halisi nimemuona hapo kwenye picha ingawa kwa mbali mwambie cameraman awe anapiga picha msanii mmoja mmoja ili iwe rahisi sisi wadau kuwaona vyema na kutoa maoni. Thank u Mr,Greatest na nakupa pole kwa kumpoteza swahiba wako Kanumba.

Anonymous said...

Hivi kukaa mipaja nje ndio umaarufu huyo anayejiita recho mbona anataka umaarumu wa pupa mtu mwenyewe bado mchanga katika fan hii.

Anonymous said...

We mdau unaetaka namba za simu ziandikwe hapa ushindwe na ulegee hapo tu namba hamzijui kila siku mnawasumbua je mkipewa namba? Ray usithubutu kuandika mawasiliano ya dada zetu labda email tu, inshort mmependeza sana frankly speaking Nampenda Batuli mimi ni mwanamke lakini nakiri kuwa Batuli ni namba 1 kwa Bongo Movie tatizo ni nyie Maproducers kuwapa nafasi hao wasiojua thamani halisi ya sanaa na mnaacha wasichana wanaokubalika kama Batuli na Riyama Ray mnatakiwa kubadilika na kuangalia kazi kwa jicho la pili yawezekana mnaowaona vinara kesho na kesho kutwa wasiwafae kwa lolote you never know tommorow nani atawafaa na kuwapa heshma ya juu kupitia film za kibongo na hatimae akapaa kama alivyokuwa Hayati Steven Kanumba, ni sifa kubwa kujivunia kile ulichokipanda, tumewachoka hao kina Wolper na kina Irene tubadilishieni ladha Nigeria wanawasichana weeeengi sana katika film kwa nini na nyie hamuigi? Hivi ni kweli Tanzania nzima wasanii wa film kwa upande wa wanawake ni wa 3 au 4 tu? Muogopeni mungu inueni vipaji vya kina dada ili kesho mjivunie mlichokitengeneza wenyewe acheni ubinafsi, Nimewahi kuongea na Jackline Pentezel kiukweli nilisikitika sana na kubaini ipo siku wasichana watapata ukombozi na mtabaki mmeinama kwa taharuki, jiulizeni Kanumba yupo wapi? Mkipata jibu mtabadilika acheni ubinafsi waoneeni huruma wasanii wa kike, wapeni kazi mbona tunawajua wachapa kazi? Kwani hao mnaowapa kazi walianza wakiwa maarufu au nyie ndio mliowapandisha? Badilikeni hamjui la kesho anything can happen 2morrow!

Anonymous said...

ka Ray mwmbie Rachel kuwa star sio evry tym aache hayo mapaja yake nje!!!

Anonymous said...

PONGEZI KWAKO THE GREATEST NA RJ COMPANY KWA KAZI NZURI, KI UKWELI KABISA MNAONGOZA KWA UBORA WA MOVIE KWA SASA HAPA TZ ( PICHA NA SAUTI ) KAZENI BUTI NA MSIBWETEKE!

USHAURI KWAKO RAY; FANYA MAZOEZI UPUNGUZE UNENE ITAKUFANYA UWEZE KUCHEZA NAFASI NYINGI ZAIDI NA UDUMU KWA MUDA MREFU!

Anonymous said...

Doooh..sasa Ray hujampa mdada hata nafasi ya kujifunika kwanza!!!..Hebu mcheki JB anatoa vyandarua na jicho moja kwenye matiti na tabasamu ziiito!!