Friday, July 27, 2012

THE GLORY OF RAMADHAN MTAANI TAREHE 6


Mzigo uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu na wadau wa tsnia ya movie bongo sasa unaingia mtaani tarehe sita mwezi ujao ni bonge la movie na wala si yakuikosa maana imejaa mafunzo ya kutosha kuhusu mwezi mtukufu wa Ramadhan.

 Chuchu Hans na Batuli wamefanya makubwa ndani ya mzigo huo wa The Glory of Ramadhan.


Dura wa Planet Bongo akiwa on set naye kafanya makubwa sana wala nisiseme sana mtajionea wenyewe wadau wangu

 

 Kazi ikifanyika.

Vijana wakiwa makini na script kabla ya scene kuanza kushutiwa

Batuli(Neshi).

Mmmmmmmm ni hatari sana futari drafti

On Set

 Hii ni moja ya filamu bora ya dini ambayo itatikisa sana sokoni.

 On set

Tukiendelea na kazi.......

20 comments:

Anonymous said...

Mungu awazidishie umri mrefu, wasanii wa Kike wametokelezea sana ila huyo BAtuli kama Jini anatisha kwa uzuri

Anonymous said...

Ala la laaaaaaaaaaa chuchu na batuli Mie hoi

khalidi athumani said...

kazi nzuri kaka big up.

Anonymous said...

big up kaka ray.

Anonymous said...

hongera sana ray, ila usisahau mlango wa maliwaton upo waz mnafturu jamani, kasinki kameonekana hapo. napenda sana kazi zako.sobing nzuri but nguo za irin no, big no.,

ngoja tuangalie hii, tena hapo umetunasa si unajua sie wake za kiislam ndani tu, kwahiyo tv.tu, ututafutie na ingine yenye maadhi haya,

Anonymous said...

God bless You Mr,greatest we are waiting.

Anonymous said...

Ray tarehe 6 mbali achia mzigo

Anonymous said...

Batuli nategemea makubwa zaidi More than Fake smile.

Anonymous said...

Mwambie Batuli ajitunze she is so cute

Anonymous said...

Naomba kujua batuli kaolewa? Nimeipenda hii movie sana zaidi y sana

Anonymous said...

haya inakuwaje futari inaandaliwa na mlango wa choo upo wazi?

Anonymous said...

dulla kakufunika sas baki kuwa director

Anonymous said...

Hii ni movie ya mwaka kwa sisi waislam nawapongeza sana nimeiona kiukweli mmeitendea haki ingawa sheikh hakujiamini ipasavyo ila mwanzo mzuri usichoke kutupa vitu vizuri kama hivi wasalimu wote walioshiriki hasa hasa Sauda.

Anonymous said...

Batuli mzuri sana yaani she is very pretty usiwe kama wale madanguro jitunze manyangumi wa mjini wakimbie na usiwape nafasi.

Anonymous said...

wewe bwege sasa tino katoa story inayowagusa watanzania haya wewe baki na ma movie yako ya kifahari kata yatagusa watanzania wakati unajuwa clients/customer wako n wa aina gani? zinduka bwege sio kunyanyasa na kuwanyonya wakina johari...siku zak za kuumbuka zinakuja tukija kwako huongei na mtu unaagiza mchopanga hata yesu hakuwa hivyo..... usipo anza kutunga story za hisia kama HATIA ya tino....pole sana....
by overcting

Anonymous said...

chizi karogwa tena......
HATIA YAWAGUSA WATANZANIA KAA NA MOVIE ZAKO ZA KISURE ZA WATOTO WANAOSOMA MBELE SIJUI WANAONA SAA NGAP... SA IVI UMMAARUFU WAKO NDO UNAKUSAIDIA UTASHUKA ....

Anonymous said...

Huwa sikufagilii hata Robo lakini kwa movie hii nakupa hongera 100% nimeikubali

Anonymous said...

hongera mwanya movie nzuri

Anonymous said...

Tupa Kule vimeo kins uwoya weka mambo mapya Batuli kaza mwendo wapoteze machangudoa wakina wolper waishi kihuni chapa kazi rj mpo juu

Anonymous said...

Dah.....hizi chuki zingine...tino ni tino na ray atabaki kuwa ray...acha unazi wako hapa