Monday, May 7, 2012

AROBAINI YA MTOTO WA MAIMARTHA

 Kama kawaida ya sisi Waafrika mtoto anapofikisha siku arobaini baada ua kuzaliwa ufanyiwa party ya kumtoa nje mtoto, Maimartha ambaye ni mtangazaji wa television ya Taifa TBC alifanya hivyo wiki mbili zilizopita nimechelewa kuzipost kwa sababu ambazo zipo nje ya uwezo wa lakini mambo yalikuwa hivi warembo wa Bongo Movie walipendeza sana kama kawaida yao

 Warembo wa Bongo Movie Odama wa kulia pamoja na Recheal wa Saguda

 Kabla ya kuingia ukumbini hapo warembo wa Bongo Movie walipata picha za kumbukumbu

 Watangazi wa TV Maimartha Jesse pamoja na Sauda Mwilima mtangazaji wa Staar Tv

 Auntie Ezeckiel naye alikuwepo

 Furaha zilitawala ukumbini

 Odama na Sandra

Mkuu wa nidhamu wa Bongo Movie upande wa kinadada Dada Heriety wa kushoto pamoja na Odama

 
Mmependeza kinadada wa Bongo Movie ongereni sana na muendeleza umoja wenu wa kusaidiana katika shida na raha kwani hakuna kitu muhimu katika maisha yako kama umoja kwani umoja ni nguvu utengano na dhaifu

 
Sinta na Sajenti

17 comments:

Anonymous said...

jamani aunty ezekiel ananifurahisha,wenzake wote wanajichubua lakini yeye yupo kama alivyo miaka yote,hongera aunty

Anonymous said...

nimefurahi sana kuona post ,,go on with your life bro,,life is today,kanumba katuacha na hawezi kurudi tena hata tukistop kazi zetu.vipi bosi movie yako na lulu itatoka lini au mlikuwa bado hamjamaliza kushot?

love you bro

Anonymous said...

Hongera mai,
Lkn dada Odama unapenda mauzo picha zote unataka kuonekana ww, n way nice & good na ww the greatest wa kwako lini ndugu au mpk ukifa ndio wajichomoze na ww unaficha sio?.

Anonymous said...

jamani wema i mrembo sana 'WHY WEMA'

Anonymous said...

WEMA UMEPENDEZA SANA NAJUA UZURI UNACHANGIA HATA UVAE KANIKI WE UTATOKA BOMBA TU

Anonymous said...

HONGERENI WOTE MMEPENDEZA ILA WEMA NA IRENE WAMEDATISHA KWA VIVAZI VYAO

Anonymous said...

RAY PUNGUZA UNENE HUO UTAKUFA UNATISHA SANA MUONE SHWAIBA WAKO ALIUPIGA VITA SANA UNENE NA AKAWA KIVUTIO KIKUBWA SANA

mashilingi said...

Kumbe mkivaa mavazi ya heshima mnakuwa sexy kiasi hicho?? Hongereni wadada mmependeza na mavazi yanaendana na tukio pia.
Hongera maimartha kwa kuwa mama.
We Sinta unataka kujifunza kuweka pua kama kidotii??? Nimechekaaaaaa

Anonymous said...

Hivi arobaini, wanaume hawasherehekei?

Anonymous said...

Sauda mh! mkorogo umezidi my dear, unachukiza sasa.

Anonymous said...

YAANI WADADA WA BONGO MOVIES WANAONA KUJICHUBUA DILI SANA SIO SIRI MNATISHA SANA MMEKUWA WABAYA MPAKA KINYAA. IGENI MFANO WA MONALISA NA AUNTY

Anonymous said...

hongera sana maimartha kwa mtoto,ila sasa huyo mtangazaji mwenzio SAUDA jamani hajajijulia makeup inayomfaa anakuwa kama kinyago,yaani sijawahi muona kapendeza kwenye picha hata za harusi yake,ushauri wa bure mkorogo noumaaaaaaaaaa

Anonymous said...

hongera sana maimartha kwa mtoto,ila sasa huyo mtangazaji mwenzio SAUDA jamani hajajijulia makeup inayomfaa anakuwa kama kinyago,yaani sijawahi muona kapendeza kwenye picha hata za harusi yake,ushauri wa bure mkorogo noumaaaaaaaaaa

lucas said...

mja wa kwanza kasema kweli hakuna ktk msanii wa kike anaependa na kuijali ngozi yake kama auntie,nampenda sana tena sana,achana na kina wema wanaojichubua mpk miguu inanywea kwa mkorogo.

Anonymous said...

Dah, walipendeza.Asante kaka ray bila wewe hata tusingejua.

Anonymous said...

If some one wants expert view regarding running a blog afterward i propose him/her to pay a quick visit this webpage, Keep up the pleasant
work.
Look at my homepage the full report

Anonymous said...

Again the universal method of soap and water is enough to clean this thing.
This article gives information about Kamasutra sex
and sex. A 2 hour charge helps you enjoy the Lelo Mia for as
long as 4 hours.

Here is my web site :: pocket pussy