Monday, May 7, 2012

BONGO MOVIE 3 TWIGA STARS 2

 Kama kawaida ya Bongo Movie Club ushindi kwao ni kawaida yao juzi iliweza kuifunga Twiga Stars team ya wanawake kwa mabao matatu kwa mawili ulikuwa ni mapambano kwa kuichangia Twiga Stars ili iweze kupata hela kwa ajili ya mashindano ya kimataifa yanayoendelea tarehe 21 ya mwezi huu watapambana na Namibia kama kumbukumbu zangu ziko sawa

 Kabla ya kuelekea uwanja Taifa kama kawaida ya wasanii wanapokutana upata picha za pamoja

 Catty Rupia na Mayasa Mrisho

 Njiani kuelekea Uwanjani

 Shilole

 Jackline Wolper katibu msaidizi wa Bongo Movie Club na Davina aliyevalia tishert nyekundu

 Wanachama wa Bongo Movie

 Kama kawaida ya mpira wachezaji usalimiana kabla ya mtanange kuanza

 Timu ya Bongo Movie

 Kazi imeanza wadau

 Benchi la ufundi likifuatilia mpambano kwa umakini mkubwa sana

 The Greatest  baada ya kumpisha  Jb

Mpira umekwisha na Bongo Movie kuibuka na ushindi wa mabao matatu kwa mawili

2 comments:

Anonymous said...

tumechoka na hiyo birth day ya mama rola tunataka kuona arobaini ya marehemu Kanumba pamoja uzinduzi wa filamu ya toba huko zanzibar, mbona umetubwaga wadau wako? haya twende kazi

Anonymous said...

Dеfіnitely believe thаt which уou stateԁ.
Υour favorite reason appeаred to be on the
web the eаsіest thing to have in mind of.

I saу to yοu, I сеrtainly get annοyеd at the same time aѕ other folkѕ conѕidег iѕsues thаt they juѕt don't realize about. You controlled to hit the nail upon the top as neatly as defined out the entire thing with no need side effect , other folks can take a signal. Will probably be back to get more. Thank youwatch merlin season 5 episode 9 with all my Heart online free stream
Feel free to surf my web page ; Merlin Season 5 Episode 9 Free Stream