Sunday, May 27, 2012

THE MBONI SHOW

The Mboni Show ni kipindi ambacho kimeandaliwa na Mboni Masimba na ndiye mtangazaji wa kipindi hiki ambacho kitaanza kurushwa hivi karibuni na EA TV.Ni kipindi ambacho kinazungumzia maisha ya wasanii,Siasa na jamii kwa ujumla, kwa hiyo Mboni alitualika katika party ya kuzindua kipindi chake nami nilikuwa mmoja wa wageni waliofika kushuhudia kipindi hicho ongera Dada Mboni kwa kipindi kizuri..

 Huyu ndiye Mboni Masimba akitoa shukrani zake za dhati kwa wageni walofika kwenye uzinduzi wa kipindi chake, kapendeza mtoto jamani au wadau mnasemaje?

Gadna aliyevalia suti nyeusi  ndiye muongozaji wa sherehe hiyo ya The Mboni Show .

 Kama kawaida ya The Greatest kupendeza kwake ni jadi yake nilikuwepo pia kushuhudia mambo yanavyoenda 

 The Greatest nikiwa na Hatman Mbilinyi,Daudi katika uzinduzi wa kipindi cha The Mboni Show 

Mboni akiwa na wadau. 

Auntie Rehema Macho na Inno Bachard katika picha ya pamoja

 Steve Nyerere na Auntie

 Mambo yakiendelea kupamba moto

 Saguda wa Rechael kulia na Daudi Mambi huyu jamaa ni mdau mkubwa wa Bongo Movie na Bongo Fleva

Nargis Mohamed, Sinta pamoja na meneja wa Wema Sepetu bwana Mrtin
Kadinda walikuwepo nao wakiwakilisha

Wema vipi tena hapo na Auntie shwari mbona kama shari ahaaaaa natania tu hapa walikuwa wakiteta jambo

 

Wema na wadau wa mjini


Vijana wangu wakizazi kipya haoooo wamependeza sana , safi sana unajua msanii ni kioo lazima uwe smart Ommy Dimpo kushoto na Producer wa muziki bongo Lamaa

The Greatest akiandika jina kama mgeni aliyeweza kufika kwenye party hiyo pamoja na saini za kumwaga, bongo siku hizi kama ulaya tu

Ommy Dimpo na Gadna

Izo Business na Dj Choka
Vijana wa kampuni ya I VEW ni kampuni inayotengezaga macover ya movie zangu

Wageni waalikwa


JB na THE GREATEST


Wema Sepetu

Diamond the Plutinum

Ommy Dimpo akitumbuiza


Mboni Masimba aliendesha kipindi live siku hiyo
Diamond katika mahojiano

 

Keki ya The Mboni Show, walilishwa wadau wa karibu wa Mboni Masimba

Wakikata keki kwa pamoja

9 comments:

Anonymous said...

WEMA WEMA WEMA WEMA WEMA WEMA WEMA EMA WEMA WEMA WEMA WEMA WEMA WEMA!!!!!!!! umependezaaaaaa

Anonymous said...

wema sepetu nakupenda sana na ulipendeza sana mumy

Anonymous said...

KAKA SIKU HIZI UMEKUJA KWA STAIL YA KUVAA MIWANI KILA SEHEMU UENDAYO NIMEFANYA UTAFITI NIMEGUNDUA KILA SEHEMU UENDAYO HAUWACHI MIWANI HAYA SAFI KAMA UNAAMINI UNAPENDEZA UKITUPIWA MIWANI ILA MSIBANI USIWE UNAVAA YA MAUZO VAAA YA KIMSIBA MSIBA...
BIG UP UKIHIJIWA NA MBONI TUPIA KIDOGO HAPAHAPA KWENYE BLOG TUONE ULIVYOTOKELEZEAAAAA
EMMER MATUTU

Anonymous said...

NIMESAHAU MR. BONGO MOVIE NIACHIE GLASS MOJA NAMI NIWE NATUPIA HUKU
email b52emmer@gmail.com
EMMER MATUTU

BQ said...

dah KANUMBA angekuwepo nae huko pia loh kila nikiwaona we na JB mmehudhuria mahali macho yangu yanahangaika kumtafuta KANUMBAlakini simuoni ,uzidi kulala pema kipenzi chetu KANUMBA.

Anonymous said...

BQ umenichoma sana na maneno yako....... dah inauma sana.

Anonymous said...

PUNGUZA MIWANI BWANA DUH NI KUTAKA KUPENDEZA AU AIBU???? NA MSIBANI KUNA TYM ULIVAA JAMANI ....... HAYA HUYO NAE KWENYE INTERVIEW YA MANA KM IYO NA MIWANI MWISHO WA SIKU NI USHAMBA

Anonymous said...

Wema unazeeka duh - punguza mkorogo kidooogo utapendeza sana. Otherwise you are soo beautiful

Anonymous said...

JAMAN MTU ANAISHI APENDAVYO SIO MTAKAVYO.KAMA BURUDAN MWAPATA NN CHA ZAIDI MWATAKA??? WASHAURIN KATKA KAZ NN WABORESHE SIO N VIP WAISHI