Sunday, May 27, 2012

SHEREHE YA YUNA(YOUTH OF UNITED NATIONS ASSOCIATION TANZANIA)ILIYOFANYIKA VIWANJA VYA USTAWI WA JAMII ON 26/05/2012

 Ni sherehe ambayo iliudhuliwa na wana vyuo mbalimbali katika viwanja vya ustawi wa jamii.Sherehe inayohusu uchangiajia wa chama cha YUNA(Youth of United Nations Association Tanzania)

 Na sio wanachuo peke yao kulikuwa na wanafunzi kutoka shule mbalimbali mkoani Dar es Salaam.

 Joketi alikuwa ndiye muongozaji wa sherehe mwanzo hadi mwisho.

 Joketi akiwa Ruben wa take one kipindi cha Clouds Tv

 The Greatest nikiwa ndo nimefika kwenye sherehe hiyo kama mgeni rasmi katika shughuli hiyo ya uchangiaji wa wanachuo wa Yuna walikuwa wanahitaji michango kwa ajili ya kuwa na ofisi yao nami nilichangia laki tano za Kitanzania pia watu wengi waliiomba kupiga picha na mimi nakulipishwa alfu mbili na kuziingiza katika uchangiaji huo

 Nikiongea machache.

 Nikiwa na baadhi ya wanakamati

Nilipewa nafasi kubwa sana kwa sababu nilikuwa ndiye mgawaji wa vyeti ambavyo viliandaliwa na chama hicho.

Hongera sana mama. 

Hongera Brother

HONGERA.

Wanachama walifurahi sana kukabidhiwa vyet na The Greatest
Safi sana vijana nawashukuru pia kwa kuona nafaa kuwa mgeni rasmi
 Shughuli za ugawaji vyeti zikiendelea.

 Mambo yalikwisha namna hii

Baada ya shughuli kuisha wanachama waliiomba kupiga picha na mimi sikusita kufanya hivyo

13 comments:

zamaradi said...

Hatimaye sasa na wewe unaalikwa kwenye mambo muhimu sio show za uzinduzi wa movies tu ,kweli kufa kufaana.

Anonymous said...

Laki tano tu? Aibu nafuu usingesema. Nani anataka kupiga picha na muuaji. Your career is over, you are done.

Anonymous said...

hongera Ray umefanya kitu kizuri

Anonymous said...

Haya uliona mwenzako anafaidi sana ukaamua kumuua. Faidi sasa alivyokuwa akifaidi yeye. Ona sasa umeanza kuonekana kwenye vitu ambavyo yeye alikuwa akivifanya.

Anonymous said...

HONGERA SANA NAMI PIA NIMEFURAHI SANA WEWE KUWA MGENI RASMI.. NAPENDA SANA KUONA UKITHAMINIWA
COZ YOU THE B EST SEMA WATU HAWAJUI...
THANX GOD THAT THE SOCIETY HAVE STARTED TO KNOW YOUR POSITION...!!

ADVICE
PLZ TRY TO BE CLOSE WITH YOUR SOCIETY ALL OVER THE COUNTRY AND TO BECOME THE BEST FRIEND OF YOUR SOCIETY THIS WILL HELP TO BUILD STRONG RELATIONSHIP WHICH WILL CREATE TRUST AND STONG REPUTATION AND FINAL SUPPORT YOUR MARKET AS AN ACTOR... BELIEVE WHAT AM TELLING YOU..
EMMER MATUTU

Anonymous said...

UNAWEZA UKAWA HUJISIKII SIJUI KURINGA KWASABABU HUJITOI SN KWENYE SHUGULI ZA KIJAMII KM HIZI SISEMI KWA UBAYA ILA KANUMBA ANGEKUWEPO ANGEALIKWA YEYE HAPO.
WE NI M2 MKUBWA SN SN TU RAY KWENYE KAZI YAKO ILA UBAYA WAKO NI KWAMBA UNAOJICHANGANYA NAO KILA SIKU NA KILA WAKATI NIWAFANYAKAZI WENZIO TU NDO MANA WANAKUONA UNAJIDAI. HAUPO KIJAMII SN YANI HATA PICHA NYINGI MABLOGIN HUMU NA MAGAZETINI UPO NA WASANII TU.
JICHANGANYE KUWA KIJAMII ZAIDI UNA JINA KUBWA SN KM HAPO ULIANZA NA KUVAA MIWANI JAMANI YA NINI??? UNAONGEA NA WATU KM IVO KUWA NATURAL OKEY ULIFANYA VIZURI KUJA KUVUA BADAE.
JITOE KWENYE JAMII KIDOGO PALE INAPOKWEZEKANA USILAZIMESHE. JAMII INAKUFAIDI NA KUKUJUA LUNINGANI TUUUUUUU NA SIKWENGINEPO KM KUJICHANGANYA NAO KTK BAAZI YA MATUKIO MBAYO YAPO NDANI YA UWEZO WKO NDANI YA RATIBA ZAKO UKIJIPANGA NA KUWAFIKIRIA HASA HAWA WAPENDA MOVE ZAKO BASI UTAPATA TU MUDA WA KUJICHANGANYA NAO

Anonymous said...

NAAMINI HUJICHUBUI ILA KM NI MAFUTA UNAPAKA BASI BADILISHA YANAKUNGARISHA SN USO KIASI CHA WAOSHA VINYWA KUPATA CHA KUSEMA

shongololo ca said...

Hongera kwa kujikita kushiriki shughuli za kijamii. Usisahau kujiendeleza kielimu zaidi kwani umri wako ni mdogo pia itakusaidia kukujenga zaidi kwani jamii inakukubali na kukuheshimu.
Najua una maisha mazuri na kazi zako ila elimu inaongeza maarifa na ufanisi zaidi pia itakusaidia kutangaza kazi zako nje ya nchi. Nakuombea mafanikio zaidi na nafurahia maendeleo ya vijana.

Anonymous said...

jamani bado tu watu wanaamini we ndo umeua!!!!!acheni izo jamani. mi nilikuwa shabiki mkubwa wa marehemu lakini kwa hili jamani Ray anakosewa. binadamu tukumbuke kipimo tunachopimia wenzetu nasi tutapimiwa hivo hivo

Anonymous said...

UMRI MDG KAKWAMBIA NANI???? HUYU NI MIONGONI MWA WATU WASIOPENDA KUTAJA UMRI WAO ILA TUNAOMJUA TUNATAMBUA KUWA ANA AKA ZAKE ZA MANA

Anonymous said...

jamani munakosea kumuita ray muaji. ina mana siku wakifa mama zenu mutawaita baba zenu wauwaji? hamujui munamumiza vipi mtu kusingizia kosa alokuwa hajafanya

Anonymous said...

we anonymous May 28, 2012 9:31 AM fikiria kabla hujasema kumbuka we pia ni mwanadamu na pia jiulize we ni nani wa kumuhukumu mwanadamu mwenzio mpaka kumuita muuaji una ushahidi gani?kichwa chako akiko sawa unaaandika maneno utazani umejiumba na kumsahau mola wako.kama una uhakika na ulisemalo kwanini usiende polisi na kuwaambia kuwa ulikuwepo siku ya tukio na fulani kamuua fulani acheni ulimbukeni wa akili na kumjaji kaka wa watu kwa mapenzi yako ya kinafiki as if ulikua unanunua movie zake marehemu au ulikua unamjua sana kuliko ray nonsense grow up!!

Anonymous said...

ah kanumba tu ndo alikw anajtoa, ndio kamtoa mwenzie ili ye akae uongo. Halaf subir we ray roho ya mtu nzito, utayaona! Malpo dunian