Wednesday, May 30, 2012

TUNAISHUKURU SERIKALI YA RAISI JAKAYA KIKWETE


Tunafarijika sana sisi wasanii na serikali yetu ya sasa hatuna cha kuwapa zaidi ya shukrani zetu za dhati kwenu kwa kipaumbele mnachotupatia kwa sasa hii haijawahi kutokea katika serikali zote zilizopita tunakushukuru sana Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Dk Jakaya Mrisho Kikwete kwa kututhamini sisi wasanii wa Tanzania, kwanini nasema hivi leo.., serikali yetu ya Tanzania imetoa milioni kumi kwa famila ya marehemu Steven Kanumba kama rambirambi ya serikali yetu. Familia ya The Great na sisi wasanii wote Bongo Movie tunasema tunawashukuru sana..


Naibu Waziri wa utamaduni na michezo Mhe, Amos Makalla akiwa anawasili nyumbani kwa marehemu Kanumba kwa ajili ya kutoa rambirambi hiyo sisi wasanii tunasemaje Mhe.Amosi Makala ni chaguo sahihi katika wizara aliyopewa tunampenda sana maana anajali sana wasaniiMh; Amos Makalla akisalimiana na Mama mzazi wa The GreatMheshimiwa akiwa makini kufuatiliia ratiba zinazoendelea..Mama wa marehemu (Mama Frola) akiwa na majonzi akisubiri kinachoendelea.Mtitu Game mkurugenzi wa game 1st quality


Mh; Amos Makalla akiongea machache na vyombo vya habari .


Mama wa marehemu akiwa na Mh; Amos Makalla.
 

Mh; akiwa ameshika kiasi cha milioni kumi(mil 10) kwa ajili ya kukabidhi kwa familia ya marehemu kama rambi rambi ikimwakilisha Mh. Rais Jakaya Kikwete na Serikali yake.Kabla ya kukabidhiana mama aliongea machache na kutoa shukrani zake kwa serikali..


Makabidhiano yakafanyika.Mama akipokea pesa hizo kwa majonzi makubwaMama wa marehemu akionyesha kiasi cha fedha alichokabidhiwa kwa niaba ya ndugu na jamaa waliokuwepo


Mama akisaini mkataba toka kwa mwanasheria wa Wizara habari utamaduni na michezoSeth(Mdogo wa marehemu) naye pia alisaini kama shaidi.Mh; akisaini.

JB

Mtitu na Mama wa marehemu.

Jack wolperJB na Tino.The Greatest nikiwa na mama tukiteta jambo.The Greatest.Mama Frola na The Greatest.Dada wa marehemu(Bela ).


Jenifer Kiyaka akiwa na Mama wa marehemu.Jenifer Kiyaka na Mama Asha Baraka.Steve Nyerere mkurugenzi wa kampuni mpya ya kisasa inayotambulika kwa jina la OS akiwa na Mh; Amos
Makalla Baada ya matukio yote kuisha


END......

12 comments:

Anonymous said...

i saw this on TV they did a great job for real.

Shongololo ca said...

Pongezi kw JK na serikali yake. Wasiwasi wangu ni kuhusu hizo hela zitakavyoleta tafrani kwenye familia ya marehemu.
Natamani angepatikana mtu wa kuwashauri wazazi wa kanumba waaache kuweka malumbano ya mali za kanumba kwenye udaku jamani tunaona kama mmefurahi mtoto kufa mpate hela. Kwa kawaida mtoto anatakiwa aachiwe mali na mzazi lakini si mzazi roho imtoke kwa mali za mtoto.

Anonymous said...

teh teh Baba yake atakula kwa macho si alitelekeza

Anonymous said...

miss u Steve Kanumba mpuzika kwa amani baba,& ccm oyeeeeeeeeeee.

Anonymous said...

miss u Steve Kanumba mpuzika kwa amani baba,& ccm oyeeeeeeeeeee.

Anonymous said...

Jamani endeleeni na umoja huu. Mpeni huyu mama wa Kanumba moyo, ninafarijika jinsi wasanii mnavyojitoa kwenye shida kama hivi. Ray, Steve, JB, Wolper big up..Mungu atawabariki

Anonymous said...

asante kushukuru Ray

Anonymous said...

Jenifer kyaka kwa kupenda ma photo...but its all gud.

Anonymous said...

shukrani JK ila sipati picha baba kanumba mimate itakavyomtoka kwa uchu akizipata hizo nyuz....

Anonymous said...

safi kaka ila usiewe unavaa heleni miwani unapokuwa kwenye sehemu nyeti .....dadafua kwa umakini utanielewa..
emmer matutu

Anonymous said...

Kama ingekuwa baba kanumba NI Baba yangu mzazi nisingependa. Aguse hata kitu changu

Anonymous said...

kanumba RIP personally will miss u soooo much!