Friday, June 1, 2012

ZANZIBAR INTERNATIONAL FILM FESTIVAL

 Jumatano iliyopita Ziff walifanya uzinduzi wa maonyesho ya kimataifa( Ziff)yanayofanyikaga Zanzibar. huwa yanakusanya wasanii maproducer pamoja na madirector kutoka Nchi mbalimbali za kimataifa hii inatupaga faida kubwa sisi wasanii wa Tanzania kujitangaza Kimataifa  maonyesho yataanza miezi michache baadaye  bila shaka wasanii wengi watapeleka kazi zao kwa ajili ya tuzo za ziff kwa kujipima na kugundua uwezo na kazi nzuri ulizozifanya karibuni sana tuone mambo yalivyokuwa....

 Baada ya kuingia ukumbini hapo tu mtu mzima nikadakwa kwa ajili ya interview na waandishi mbalimbali nami sikusita kuwapa ushirikiano

 Nikiendelea kudadafua mambo kuhusu umuhimu wa ZIFF

 Mambo yakiendelea kama kwaida..

 Picha na waandaji la tamasha ilo lililofanyika ndani ya Hotel ya Slipway iliyopo Masaki

 Furaha ikazidi wadau wangu

 Nikakutana na Auntie Ezeckiel

 Mawili matatu yakaendelea na Auntie

 Auntie pamoja na washikaji zake wakiwa wanapata vinywaji

 The Greatest , Kika, Sharifa pamoja na mdau Inno Bachard Mapundazzzz tukipiga story

The Greatest na mtoto mzuri Kika mdau wa tasnia

 The Greatest na Shilole

 Jb, Ray na Cloud tukiteta jambo

 Single Mtambalike pamoja na Mkurugenzi wa Steps kampuni kubwa ya usambazaji Nchini Tanzania bwana Dilesh Solank

 Steve Nyerere na Odama

 Wolper na lisa

 Mtitu wa 5 Effect na mkewe mtarajiwa

Mwisho kabisa Lisa The Greatest pamoja na Wolper katika picha ya kumbukumbu mambo yalikuwa safi sana na wasanii walijifunza mambo mengi ya msingi

12 comments:

shongololo said...

Nimependa picha yako na shilole. Bongo movie kuna madada warembo sana.Watunzeni mpate mashemeji jama.Ila majaribu nje nje. Macho hayo wolper.
Majaribu yakiingia mkemeeni shetani naye atawakimbia.

Anonymous said...

hi Ray, habari za kazi? ndugu yangu nilikuwa na swali, kwanini hamuwashirikishi wasanii kama wakina ,majuto katika movie zenu? jaribuni kufanya hivyo , mzee Majuto he is the greatest of you all. pls Fanya nae movie, utakuwa umetufurahisha watu wengi sana. MDAU USA

Anonymous said...

KAKA SAFI PIGA HATUA, PIGA KAZI MPAKA KIELEWEKE.....
MABADILIKO YANAONEKANA KUANZIA MUONEKANO MAVAZI SI MBAYA.. OUR LOVELY CELEBRITY.....

EMMER MATUTU

Anonymous said...

yani wasanii wake kwa waume kuvaa hamjui hata

Anonymous said...

Ray mm napenda sana kazi zako tena nakukubali sana,mh kama mdau hapo juu alivyo changia kuhusu kumshilisha mzee majuto niswala zuri sana kwani itapendeza sana.Kama vp fanyanae kazi hata moja kaka.Aden mp

Anonymous said...

DONT PUBLISH
KAKA ET LUCY KOMBA NDO KAKUPIGA BAO..... MEEAN THAT KAISHENDA NJE YA TZ NA KUFANYA MOVIE NA ARTIST WEST AFRICA... HII DHARAU SASA KWAKO

AISEE ACHA MOVIE ZA LOCAL NA MAJUNGU YA KIBONGO OTA NDOTO KUBWA NA STRUGLE UPIGE MOVIE TATU NA ACTORS WA GHANA NA NIGERIA THEN HOLLYWOOD....PLZ HAT HAPO NIGERIA WATANZANIA WATASHANGAA SANA KAMA WW HATAKUWA TAA YA WAOM KUONEKANA NIGERIA NA GHANA PLZZZZ KAKA FANYA IVYO

EMMER MATUTU

Anonymous said...

mzee majuto ni vichekesho zaidi, saa kama hamna pakuchekesha kwenye script utawaweka tu, hebu mwacheni Ray wa watu.

jamani wolper ni mremboooooo yani hio hairstyle katoka kama mama zetu enzi zileeee, to cuuute ! Wow

Anonymous said...

hongera kaka bt unene jamaniii, madada mh na makaka mamayangu hamsemezeki punguzeni ndambiiiiii

Anonymous said...

I can't hide my feelings batuli huyo au macho yangu? I can't wait to see her. Mr,Greatest act movie with her I mean batuli lol " I love her with all my heart nilikuwa najiuliza kaenda wapi? Kumbe she is here? C'mon tumemiss kazi yake she is really cute take her back to the movie industry tumechoshwa na hawa wa kila siku pia nawakaribisha kwangu kuanzia ofisini PPF tower house floor no2 Ask Mr,Madabida karibuni sana if u don't mind we can change contact this is temporary I'd Madabida_2009@gmail.com. Hope utanitumia namba yako kwa email hii I wll send u my no and picture if u want I am very interested with movie and interested with batuli I like her.

Anonymous said...

Bongo movie wote shule hakuna kabisaa.

Anonymous said...

Rudini shule mkasome tena.mavazi na magari sio kitu bana hivi hamuoni wenzenu wa West Africa.

Anonymous said...

Hebu nipe namba ya KIKA nizungumze nae!! Kabla sijatangaza nia...Kizito!!