Thursday, June 21, 2012

SOBBING SOUNG JUNE 28


Mzigo uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu Sobbing Sound sasa unaingia sokoni rasmi tarehe 28, nategemea kwenda kuzindua na na kinanani? nitawajulisha wakati ukifika wadau

The Greatest nikiwa na vijana wangu kazini bila hata kuchoka.

Wanaume kazini

Hiki ni kimojawapo cha kifaa kinachofanya tuweze kufanya kazi kwa ufasaha zaidi.

 Vijana wakiwa kazini.

 kazi ikifanyika.

Irene na Sajent on set

 Jamani wadau wangu ebu angalieni vijana wanavyofanya kazi.

 Nikiwa naangalia picha kwenye monitor yangu ndogo kwa umakini mkubwa

 Sobbing Sound ni movie nzuri sana ambayo crew ya Rj Company waliitendea haki kwa kufanya kazi kubwa sana.

8 comments:

Zamaradi said...

Huna mpinzani sasa wakukuumiza kichwa lipua tu,lakini adhabu zishaanza gari ya kwanza imeungua .

Anonymous said...

SOBBING SOUND SIO SOBBING SOUNG, please correct!
Cant wait to see this good movie...

Anonymous said...

ray mwambie huyo kaka aliyevaa shati la njano huyo camera man namzimikiaga saaaana mpe salamu zangu mwambie kuna mtu duniani hapa anampenda kisses

Anonymous said...

aise naomba kulizaa, ivi ni faida gani unayoipata economically, in market also when you launch ur movie kibongobongo , iseje mkawa mnapotezeana muda na kutiana umasikini as kanumba said kwenye twitter yake ya mwisho as reason force him to quit frm bongo movie club, tel us to be aware taweza toa support hata ya kimawazo au idea!

Anonymous said...

dah iv movie ikizinduliwa ndo inakunufaishaje?
.. Ila kaza sana mjomba ili uweze kulead sanaa ya bongo!

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

da nilisubirii hadi nimekataa tamaa je na ile ya woman of principles lini

Anonymous said...

Ray nimeangalia interview yako ya mkasi kupitia you tube uliongea kwa hisia nusu nilie oh so sorry