Thursday, June 21, 2012

MISS KILIMANJARO 2012

Baada ya kumaliza kuzindua filamu ya Chaguo langu tulipata mwaliko wa kwenda kuitazama miss Kilimanjaro nasi tulijimwaga mpaka ndani ya ukumbi wa Laliga mjini Moshi haya wadau nawatupa moja kwa moja muone mambo yalivyokuwa
Comfort mwenyeji wetu tulipokuwa Mererani alitupa kampani ya kutosha tunakushukuru saba brother hapa akiwa na Steve Nyerere(The Power) kabla ya kufika Moshi mjini..

 The Greatest tukiwa Lugumbashi bar iliyopo maeneo ya Air Port ya moshi tukipata moja moto moja baridi tukijiandaa kwenda Moshi mjini kwa ajili kwenda kuangalia kinyang'anyilo cha kumtafuta Miss Kilimanjaro 2012

Mambo yalianza namna hii cheki umati huo wadau, ilikuwa ni balaaaaa..

 

 Mgeni rasmi, Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mheshimiwa Gama akiwa na mkewe.

Meza kuu ya majaji wa Miss Kilimanjaro 2012.

 Masanja Mkandamizaji alikuwa ndiye Mc mkuu wa show hiyo.

 The Greatest.

 Wema Sepetu ndiye aliyekuwa jaji mkuu wa miss Kilimanjaro.

 Juma Chikoka(Chopa).

 Snura.

 Hatman Mbilinyi.

Irene Uwoya naye alikuwa ni jaji.

 Mamiss wa Kilimanjaro walitoa show kali sana ya kufa mtu.

Richie na Jb ..

Kazi ilianza ya kumtafuta Miss Kilimanjaro 2012.
 Shillole naye alikuwepo kuwapa burudani wananchi wa Moshi 

Daimond Plutnum akiwa na vijana wake wakijiandaa kufanya show kali kama kawaida yake anapokuwaga kwenye steji hafanyagi makosa kabisa

 Ulifika muda wa Bongo Movie kuliteka jukwaa la miss Kilimanjaro.

 Richie akifanya show.

Nami sikuwa nyuma kuwapa vitu wananchi wa Moshi

 

Balahaaaaaaaaaa


 Plutnum akikamua stejini.


 Shindano likiendelea la kuchagua tano(5) bora ya Miss Kilimanjaro.

Hii ndo top 5 ya Miss Kilimanjaro.

 Miss Kilimanjaro wa 2011.

Kinyang'anyilo cha kumtafuta Miss Kilimanjaro kiliendelea.

 Miss wa 2011 akikabidhi taji kwa Miss Kilimanjaro 2012.

10 comments:

Anonymous said...

Wema unatisha mama manake nyota yako inawaka sana Kaka Ray cheza sinema moja na Wema nafikiri inatakuwa bomba sana Irene mh.

Anonymous said...

ongera sana ray mim nakupenda na nishabiki wa firamu zako mim siwezi kukuponda ata siku moja wanao kuponda umewazidi kaka

Anonymous said...

ukojuu huna mpinzani kwa sasa

Anonymous said...

uko juu kwa sasa huna mpinzani

Anonymous said...

hongera sana

Anonymous said...

big up huna mpinzani kwa sasa

Anonymous said...

big up huna mpinzani kwa sasa

Anonymous said...

hongera ray

Anonymous said...

Ray you look good ila kaka suti hazivaliwi na lebo hata siku moja! Take it out!!

Anonymous said...

unafanya vzr ila jifunze ubunifu kutoka kwa single mtambalike na jb wao wanakuzidi vingi.