Thursday, June 7, 2012

MISS MTWARA 2012

 Nilipata mwaliko wa kwenda Mkoa wa Kusini( Mtwara) kwa ajili ya kuwa Jaji mkuu katika shindano la Miss Mtwara mwaka 2012 nami sikusita kuitikia wito na kwenda kuwa mmoja wa majaji katika mpambano huo kumtafuta mlimbwende wa Miss Mtwara 2012 twendeni tuone mambo yalivyokuwa....

 Hapa nikiwa hotelini nikisubiri muda ufike ili niweze kwenda katika ukumbi uliondaliwa kwa ajili ya tukio ilo

 The Greatest nikiwa nimefika kwenye ukumbi nikiwa jaji mkuu wa Miss Mtwara. hapa nikiwa katika maandalizi ya mwisho kabla ya mpambano kuanza

 The Greatest kazini

Hapa nikiwa nikiwa na majaji wenzangu.

Wa kwanza kushoto ndiye aliyekuwa mgeni rasmi katika mpambano huo wa kumtafuta Miss Mtwara mwaka 2012.

 Mashabiki wakiufuatilia mpambano huo

Mambo yamepamba moto

 Rajabu Mchata mwaandaji wa Miss Mtwara akiongea machache kuhusu mpambano huo

 Mgeni rasmi aliongea machache na mpambano kuendelea kama kawaida

 The Greatest nikiwasalimia wananchi wa Mtwara

Mamiss wakitoa show kali kwa pamoja

Muda wa maswali ulifika na Rashida Wanjara ambaye alikuwa mc wa shughuli hiyo aliwauliza maswali.

 Wadau mnamcheki mzee huyo akifuatilia mpambano kwa umakini mkubwa hatari kweli..

Rashida Wanjara( Mc)

 Gangwe Mob walifanya show ya kumfa mtu

 
 The Greatest nikiwacheki vijana wangu wa Gangwe Mob wakifanya mambo yao, kulia kwangu ni mwanadada Bertha kama kawaida ya madada zetu( Bbm)

 Mashabiki pia walikunwa na show ya Gangwe

Mgeni rasmi akiwa makini.

 Wadau.

 The Greatest nikiwatangazia wananchi wa Mtwara mamiss waloingia kumi bora.

Zoezi zima la kuwatangaza kumi bora likiendelea

ulifika muda wa kumtangaza mshindi

 Miss Mtwara 2012 ndiyo huyoooo.

Tatu bora ya Miss Mtwara 2012.

Top Five wakiwa katika picha ya pamoja

 Warembo wakipata picha ya pamoja na Miss Mtwara

 Mshindi wa kwanza alizawadiwa kiasi cha shilingi laki nne za kibongo(400,000).

Mshindi no 3 alipata laki mbili.

 Miss Mtwara na Wanjara.

Huyu ndiye Miss Mtwara.

 Kwenye pipa safarini kurudi nyumbani, nawashukuru waandaaji wa miss Mtwara kwa kuona nafaa kuwa jaji mkuu .

 Asanteni saaaaaaana

10 comments:

shongololo said...

Mtoto mzuri kaingia kwenye umiss kwisha habari yake. Mbona zawadi ni kidogo mno kwa binti aliyeibuka mzurii kushinda wengine?
maskini kama hatakuwa na hekima tutamsoma sana na mapedeshee wakimchoka ataingia kwenye usanii. Bora zawadi ingekuwa ni kusomeshwa ningeona mashindano yana umuhimu hii ya kwatafutia mapedeshee watoto wazuri simo.

Anonymous said...

unafanya vizuri,bado mtaani sasa,acha kufunga vioo,salimu watu basi

Anonymous said...

Hongera sana kwa kupata mwaliko wa kuwa jaji ktk mkoa wetu wa mtwara ila mimi nina endelea kukumbushia ombi letu sisi fans wako tunaomba tumuone batuli katika movie zako kiukweli huku kwetu ana sifa ya pekee sijui kwenu dar ila kwa hapa huyo mdada anashika nafasi mimi ni producer wa kampuni ya Radio hapa naitwa Mr,Michael Chilika my email: Mr_chili@hotmail.com tafadhali kama kuna uwezekano naomba contact za batuli.

Anonymous said...

hiyo picha ya kwanza Ray vp!!!! mbona umeweka ishara ya mpinga Kristo(freemason) au na wewe ni mmoja wao halafu hii ni picha ya pili naona umeweka iyo ishara !!!


hopefull umefanya hivyo unknowningly

Anonymous said...

Jmn ray nakupendagaaaaa na unavyojua kunesa miguu wakati wa kuigiza mm hoi uliwaka mchumba

Anonymous said...

Hivi wewe ray kwa nini unajichubua???? unakua kama jike dume vile aarrrrg.halafu nasikia ulitoka na mdogo wake johari ukamwambukiza vvu hivi ni kweli?

Anonymous said...

ray unajichubua au?

mi naona namba 8 ndo angefaa kuchukua. anywayz maybe miss mwenyewe kapigwa picha vibaya but she's beatifull too.

ray nawewe ni freemason?

Anonymous said...

huyo miss c yupo kwenye wimbo wa professor j ;kamili gad"

Anonymous said...

sasa bwana kigosi what do you know about u miss?I think the answer is absolute nothing.
that means you as a chief judge sidhani kama you made the correct judgement.nxt tym piga chini coz you know nothing

Anonymous said...

sasa ww tangu lini na umiis tena wky mwingine mnavamia fani za watu ,wwanche wenye fani zao za urembo wafanye kazi zao