Sunday, June 24, 2012

UZINDUZI WA WEMA SEPETU


 Hongera Wema Sepetu kwa kuandaa shughuli kubwa iliyokusanya mastaa wengi wa tasnia ya movie bongo pamoja na bongo fleva katika uzinduzi wa cinema mpya ya Wema inayokwenda kwa jina la Super Star, nakupa hongera tena kwa kuweza kumleta msanii mkubwa wa kike kutoka Nollywood Omotola kwa ajili ya kuweza kushuhudia uzinduzi wa cinema hiyo ya Super Staar

Hapa tukiingia ndani ya ukumbi wa Kempick ulipofanyika uzinduzi huo wa Super Star...

 
 Irene paul kijana niliyemuibua katika ulimwengu wa movie ni tunda langu ili sasa yupo ndni ya Red Carpet akipiga picha bongo siku hizi kama ulaya tu

The Power naye akiwa ndani ya Red Carpet

 The Greatest.

Pozi la The Greatest

 
 Kupa.

 Hatman Mbilinyi.

 Shilole wa kwanza kushoto  akiwa na Mainda wakihojiwa machache kuhusu uznduzi wa bonge la movie la Super Star.

 Ommy Dimpoz.

Vijana mpendeza saaaaana

 
 Beny Kinyaiya.

 The Greatest nikiwa na Richie na Barnaba.
                                     
Mtitu akiwa na Mwana FA na Dimpoz.

 Ben Kinyaiya,Hartaman pamoja na Chalz Baba mwanamuziki wa Mashujaa Band...

                        
A.Y mwanamuziki wa kizazi kipya

                                              
 Izzo Bizness.

Vijana wa Bongo Movie 

The Power akiwa na Mama Loraa.


 Tht show

Jenifer Kyaka(Odama) akiwa na The Greatest bata likiendelea.
 
Ulifika muda wa kuangalia Movie ya Wema Sepetu(Super Star).


Mambo yakiendelea..

Wema Sepetu akifuatilia cinema yake
 Hatari mchezo umeanza
 

Baada ya watu kuangalia movie burudani ikaendelea, hapa lina akipiga show ya nguvu

27 comments:

Anonymous said...

Umependeza sana the Greatest, U look fabilous, Nice looking broda, am so happy! I wish we can meet but I live German. Siku nikija Tanzania nitahangaika nikuone My name is Mr,Kennedy Dyan. Am a Businees man. I like your blog and always nafungua kuangalia what is going on. Napata Tabu kupata movie za kitanzania kwa wakati kwani huwa natumiwa na dada yng anaeshi huko nina movie karibia zote, naomba kujua jambo moja nimekuwa nikisoma comment humu naona watu wanampenda Batuli nina movie yake aliyocheza na Marehemu Steven Kanumba and another 1 amecheza na Jb kiukweli naungana na wenzangu huyu dada ni wa kipekee fanya nae kazi mashabiki wakitaka kitu wape. Salam nyingi kwa Bongo Movie.

Anonymous said...

Hongera zake wema lakin ananiboka kitu kimoja kwanini amejichubua kiasi hiki na mvuto ana tena yani amejiaribu huyu dada sijui nani kamwambia anapendeza ndo ushauri wangu huo

Anonymous said...

imependeza kiasi chake ila wema huo mkorogo du mpaka unaonekana km kinyago kweki mkorogo nomaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

keep on going Wema am so happy for you

Anonymous said...

Mlipendezaa sana...... hili ni bonge la uzinduzi halijawahi tokea Wema anastahili pongezi

Anonymous said...

mbona simuoni wolpe, Irene na Diamnond kulikonii?

Anonymous said...

RAY TAFUTA CAMERA NZURI BWANA AU NI CAMERA YA NANI ILIKUA INAKUPIGA PICHA KWENYE RED CARPET-KAITUPE.

MAINDA NOOOOOOOOOOO WAY, HANA KIOO NYUMBANI, KAMA MWANAUME EEEIIIIIISH, KWENDA NA WAKATI KAZI JAMANI

Anonymous said...

I JUST LOVE SANDRA- SIJUI JINA LAKE HALISI NANI. KAPOTEA JAMANI-TOKA ENZI ZILE ZA MICHEZO YA ITV SIJAMWONA TENA. NI ACTRESS MZURI SANA

Anonymous said...

Hongera Wema kaza buti haya ndo mambo tunataka. Big up na nyie wasanii kwa kumsuport mwenzenu. One love!

Anonymous said...

kaka mi nataka kuona movie moja ya ww na omotola, genevive..,, van vicker, ..na so kuzindua movi za kawaida kabisa mwisho unapoteza hela zako... fanya international movie then launch sas tuone....
kaka kaza acha kufanya vitu vidogo...piga kazi inyernational

Anonymous said...

fanya kazi mpaka dunia itambue its your time ,,, second chance neva come town...

Anonymous said...

tisha cha msingi ni ww kukaza kamba....

Anonymous said...

ben kinyaiya unajua kupioga pamba..nimeipenda hiyo surual mzee..wapi inapatikana??Mainda dada hujui kuvaa na occasion!!aibu..vinguo gani hivyo sasa??aaagh..Shilole una ushape wa ukweeeeel hips hzo mmmmmmmmh..Lina naona umevaa kiheshma kidogo

mumeo mtarajiwa sunday g said...

saaafi saaaana sepetu

mpenzi wako sunday g said...

gooooood

Anonymous said...

kaka izo hela mnazopoteza kwa sasa kwa ajili ya launch za product(movie) za kawaida kabisa bora zingewasaidia kwenda global, nenda kasome ktbu chchte za international markting, one ways za kwenda global, msitegemee serikali sana, mfano mzuri ni djbhanji na psquare sa ivi wanafanya kaz na kanya west na akon kwa sababu ya
1.networking
2.exporting
3.strategic alliences
Trust me, nimekuja kwako tuzungumze ukasema huna tym ukanikabizi kwa chopa, sawa tayar una watu wakuwasikiriza!
Godbles u!

Anonymous said...

Ray sijawahi kutembelea glob yako,ndo kwanza leo,,,jaribu kutembelea michuzi pale katika mikas wewe na Salama,,nimetoa comment nzuri sana,,KAISOME PLZ!
Nimependa kazi yako,,Nikija Bongo nitakutafuta Insha'Allah unisaidie jambo flani!
Dada yako!
AHLAM,,,LONDON

Anonymous said...

he huyo Mainda kachemka na hicho kivazi.....

Anonymous said...

Yes Ray upo juu na ulipendeza. Ila unapenda suti mwana, siku zijazo changanya changanya pia nadhani unapendeza mavazi mengi, kama vishat vya linen na jeans au vyovyote vile

Pili nikupongeze maana naona unavyo improve hasa unapohujiwa, unaongea vzr(yani inaonesha kweli unaongea kwenye media)big up. Ongeza juhudi katika hilo, kukwepa kujibu maswali ya kijinga kam lile uliloulizwa kwenye mkasi kuhusu totozi,nilikukubali sana ulivyolipoteza boss, ni mswali ambayo huwezi kuonekana mkweli hata ukisema ukweli so bora kuyapotezea boss wangu. Afu vile vijamaa vya salam vimenza kuniboa sasa. Vijitu hata havina skills vinaongea kama gengeni bwana.

Tofauti na hapo nikurekebishe kitu kiomoja, Ray bwana haya mambo ya kusema ohh tunda langu sijui nafanya nae kazi hawa dada zetu mambo yakigeuka tu unakuja kusemwa vibaya sababu we ndo star,Mfano watu wakaanza kusema bif lako na marehemu lilikuwa pia na issue ya lulu kumbe maskini ukute hata wewe ndo ulijua hayo baada ya mauti kumkuta.Sasa huyu dada ulomfagilia sana sijui nini au nini, mara ni ni zao la kampuni yako, ni kweli na ni sawa ila mi nnavyowajua wabongo siku ikitokea issue watasema ndo kichunda chako. Au kama kweli weka wazi mazee.
Kweli mi si mpenzi wa movie zetu ki vilee ila kwa jinsi wachache sana kama wewe, jb, richie, wolper na aunt mnavyokuwa kweli mnavuta wengi tuanze kuzipenda kazi za hapa home.
Sorry kama nimekukwaza ila mi napenda maendeleo ya hii sanaa, na nina dhamini kila kazi ya mtu ina umuhimu ndo maana nakupa warning mwanawane.
Kaza buti mwana,

Anonymous said...

wema,mainda,snura na dida kwa kweli mnatisha na hiyo mikorogo yenu,hivi kwa nini hamjiamini na rangi zenu?mmekaa km majini,igeni mfano wa anty.

heri said...

cheki movie ya divorce ya ray utamuona

kay said...

hongera wema,alianza kanumba kutoka kimataifa,kafata elizabeth gupta sasa hivi anarekodi movie na wanaijeria pamoja na ghana atakayefuatia naona wema kila la kheri wote katika kukuza jina la tz katika tasnia ya filamu

Anonymous said...

kaka kilio changu ni klekile to go global
kuna comment yangu nimepost hapo inaonyesha ways to go global
1.nertworking
2.strategic alliance
3.exporting
sas tunaanza kuzifanyia kazi direct
first...nertworking kwa sasa nertworking unaweza kuifanya kwa haraka through via persons unawowaslana...mfano ELIZABETH GUPTHA ulicheza nae movi naitwa danger zone moja ya movie ulizofanya nikuappriciate pekee... sasa anacheza movie na CARTEL na mstaaa fulani wakubwa nageria so NETWORKING INAWENZA KUENDELEZWA KWAKE PIA KAMA UNAO WATU WENGINE KAMA RAMYSE
second, exporting fanya dili moja la kuexport movie zako kwenda nigeria usiangalie sana faida kwa hapa... mfano huyo dada elizabeth atakuwa ameisha aanza julikana nigeria so DANGER ZONE INAFAA KUBE EXPORTED...
Kwa leo tuishie hapa.

afu listen you customer watu wanampenda batuli fanya mishe to create smtngh good for customers
emmer matutu

Anonymous said...

nmeina lucy komba picha mmoja na kijana bora kabisa kwa uigizaji nigeria mr. desmond huyu jamaa nomaa sana
kaza baba lucy anatangulia kwenda internatonally

Anonymous said...

KWELI MLIPENDEZA SANA WEMA HONGERA UMEJITAHIDI KUHUSU MAINDA KUVAA HILO NICHAGUO LAKE JAMANI MWACHENI ,,SHILOLE WIG HALIKUPENDEZI KABISA ,,RAY JUZI NILISOMA GAZETU LAUDAKU ETI WAMEWAFUMA LIVE WEWE NA MAINDA HAHAHA KWELI NIMEAMINI MAGAZETI NDIOYANAFANYA BONGO MOVIE WAONEKANE MICHARUKO ILE NAYO NIHABARI/??KOSA LIKO WAPI PALE JAMANI NAWACHUKIA SINA TU LAKUFANYA ILA NASEMA NYIE FANYENI KAZI WAACHENI WAANDIKE WAKICHOKA WATAACHA WANANIUDHI SANA BY THE WAY ULIPENDEZA SANA

Anonymous said...

ulipendeza.. cku nyingine ukivaa hiyo suti usivae na tai, jaribu kuonekana wa tofauti.

Anonymous said...

Hahaha .ray. mlipendeza .wambie .datda zako .early bongo .movers.waingie kwenye .blog.yako wasome .comment.zetu.watajua .makosa yao .mainda .kila siku .hajui avaaje.