Monday, October 29, 2012

SEND OFF YA AUNT EZECKIEL

Jana ilikuwa ni siku kubwa sana kwa msanii maarufu wa filamu Tanzania Aunt Ezeckiel baada ya kufanya Send of yake  ndani ya Serena Hotel iliyoambatana na sherehe ya kuzaliwa kwake wasanii wengi wa Bongo Movie walikusanyika kumsapoti ndugu yao huyo, kwa hiyo wale wakwale wanaopenda kudoea vya watu wafyate mikia yao kwani sasa Aunt ni mke wa kijana wangu Sunday anayeishi mjini Dubai itakapofanyika rececption yao hongera sana dada yangu

Cloud akiwa na Bibi Harusi dada yetu Aunt wakipata picha ya kumbukumbu..

 Tukiwa ndani SERENA tukimsubili Bi Harusi hawasili ndani ya ukumbi.

 Bi Harusi(Aunt) akiwa ndio anawasili ndani ya ukumbi huo kwa mbwembwe kubwa sana.

 Bi Harusi akiwa tayari akiwa amefika sehemu yake maalum iliyoandaliwa kwa ajili yake huku akiwa kazungukwa na wapambe wake

 Flowersssssss

 Wema na Jack Wolper

 Davina (wa kwanza kushoto) Cath Rupia (wa katikati) na Mama Eriethy

 Maya na Chuchu Hans.....

 Odama

 Mr na Mrs Cloud...............

 The Greatest nikiwa na kijana wangu....

 Ulifika muda wa kwenda kukabidhi keki kwa wazazi.....

 Akikabidhi keki kwa wazazi wake kwa adabu kubwa sana....

 Akiwa ameongozana na shemeji yake kwenda kupata chakula.

 Aunt akiwa kwenye vazi jengine kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa. 

 Maandalizi yakifanyika..

 Ratiba ya kukakata ndafu ikiendelea!

 Mmependeza.....

 Wema akiwakilisha wananawake wa Bongo Movie kwa kula ndafu....

 Cloud pia akiwaakilisha wanaume wa Bongo Movie.....

 Ulifika mda wa burudani ...

 Wachaa we.......

 Batuli akitoa show....

 The Greatest nikiwa na Da Natasha katikati na JB mwenyekiti wa Bongo movie...

 Mambo yakipamba moto..

 Recho Saguda wacha weee..


 Burudani ikiendelea..

 Maya hayuko nyuma naye...

 Mainda..

 JB

Steve Nyerere..

The Greatest

Thursday, October 11, 2012

SISTER MARRY Baadhi ya wadau msiwe wajuaji sana kabla ya kitu kukijua kuwa  mjinga ili ujue mengi usijifanye mjuaji wakati ujui chochote, nadhani kwa wahusika ujumbe utakuwa umefika na waswahili wanasema kuwa kukaa kimya ndio jibu la mjinga, hili ndio movie yangu mpya inayokwenda kwa jina la Sister Marry iliyotengenezwa na kampuni yako bora ya Rj Company, si mzigo wa kuukosa maana umejaa mafunzo mengi sana lengo ni kufundisha kama kawaida yangu na sikuikashifu dini wacha tuone mambo yaliyofuata uko chini..

 Watawa wakiwa makini kusikiliza mafunzo.

 Masister wakiwa kwenye Ibada.

 Masister wakipata chai ya pamoja.

On set ofisini kwa Sister Mkuu.

Baada ya Ibada.

a
 On Set.......

 Sister Mkuu na Father Criss wakiwa kazini..

 Majukumu ya kikazi yakiendelea.

 Father Criss na Sister Marry mwenyewe ambaye ni Irene Uwoya..

 Scene za Hospital..

Picha ya pamoja baada ya kazi kumaliza kwa siku hiyo..

Tuesday, October 2, 2012

BAADA YA PRINCIPELS OF WOMAN SASA NI WAKATI WA SISTER MARRY

Baaada ya sinema ya Woman of Principels kufanya vizuri sokoni sasa ni wakati wa sinema bora kuingia mtaani jina ni Sister Marry ni sinemma yenye story ya kipekee sana kama kawaida ya kampuni yako RJ Company kufanya kazi yenye kiwango cha hali ya juu lini mzigo huu unatoka nitawataalifu kupitia blog yenu hii ya Ray The Greatest..

Madada wamependeza sana na nguo za kisista kwanini wasiingie moja kwa moja kwenye utawa huo ni ushauri wa bure tu au wadau mnasemaje?

 Hiki ni kimoja ya kifaa ambacho nakitumia sana .....

 Vijana wakiwa kazini wakikabiliana na majukumu yao


 Sister Beata(Johari) akiwa on set

 Tukielezeana machache kabla ya kuingia on set.

 Kijana wangu Dura  akiwa on set..

Vijana wakipiga mzigo kwa umakini mkubwa sana.

 Sister Mkuu akitoa mafunzo ya Utawa kwa masister.

Kila mtu yuko makini kuhakikisha kuwa mambo yanenda sawa na ndio siri ya kampuni ya RJ kufanya vizuri na wala si uchawi wadu ni jitihada tu

Kila penye nia pana njia kazi ndio mafanikio ya mtu hata vitabu vya dini vinasema kuwa asiye fanya kazi  na asile.

 The Greatest nikiakikisha picha.

 Mambo yakiendelea kupamba moto.

 Tukifanya setting ya picha.

 Nikiwa makini na kazi yangu.

Huu mzigo si mchezo subirini kwa hamu sana mara nyingi huwa sikosei kwenye kazi zangu ni sinema niliyotumia hela nyingi sana mpaka kuona hivi watu walivyo....