Locations

MY NEW RIDE
I thank God for His kindness. Also I thank you for your support.
God has blessed my life, by his mighty I have got a new car.
Keep on praying and working hard.
...My God Bless You.....

Regards
Ray The Greatest


-------------------------------------------

RAY THE GREATEST AKIWA KATIKA MAANDALIZI YA FILAMU ZAKE NA ZA MARAFIKI


Vincent Kigosi (Ray The Greatest) kushoto, akiangalia message baada ya kazi nzito ya kuaandaa filamu


Baadhi ya waandaji wa filamu wakiwa kazini


Ray The Greatest (kulia) akifuatilia kwa makini katika uandaaji wa filamu


Ray The Greatest akiwa na rafiki yake wakifurahia kazi yao ikienda vizuri.


Baadhi ya waigizaji wa filamu za Kibongo wakiwa kazini


Ray wa pili kulia akiangalia clip kutoka kwa mmoja wa ma-directorRay The Greatest akiwa-shoot waigizaji wa filamu


Wema Sepetu (kushoto) na Ray wakiwa katika maandalizi ya filamu