Friday, January 11, 2013

UZINDUZI WA KILIMO KWANZA KWADELO

Bongo Movie Unity ni jadi yetu ya kufanya kazi za jamii juzi tulikwenda Kondoa kwa ajili kufanya uzinduzi wa Kilimo kwanza uliofanyika Kijijini Kwadelo lengo na dhumuni lilikuwa kwenda kuhamasisha mpango mzima wa vijana kuacha kuja mijini na kuwekeza kwenye kilimo. na kuanzia tu Serikali ilitoa Matrekta sitini na nne kama kianzio cha mradi huo.
Tukiwasili katika kijiji cha Kwadelo, na tulipokelewa vizuri na wanakijiji wa kwadelo, hapa tukisalimia wananchi.

Wema Sepetu na Irene Uwoya nao wakitoa salamu.

Bibi akitoa tabasamu zito...


Baadhi ya matrekta yaliyotolewa na Serikali. chini ya Diwani wa Kwadelo Bwana Omary Kariati.
Picha ya pamoja ya Bongo Movie Unity.

Wema Sepetu na wanakijiji wa Kwadelo katika picha ya pamoja.

Irene Uwoya naye akipata picha safi na wanakijiji.


Tukielekea kwenye mashamba kwa ajilia ya kufanya uzinduzi rasmi.

The Greatest na JB..

Ufunguzi ukifanyika..

Tuliweza kupata picha ya pamoja na Wazee wa Kwadelo..

Jb akifanya uzinduzi kwa kuendesha Trekta.

Irene Uwoya

Single Mtambalike(Richie)..

Tukiteta jambo na Diwani Kariati

The Greatest nikipiga Trekta kama ishara ya uzinduzi.

Cheki mambo hayo ya Kilimo kwanza.

Baada ya kumalizika kwa uzinduzi tulifanya mahojiano na waandishi wa habari

Diwani Kariati naye akitoa neno kwa wanakijiji wa Kwadelo.

Jb pia akitoa hamasa kwa vijana wa Kwadelo wawe shupavu kwenye Kilmo.

Richie naye akiongea yakwake.

Mambo yakiendelea.

Tukisiliza jambo kwa umakini.

Tukielekea kwenye gari.

Uwoya akitoa pesa kwa watoto wa Kwadelo.

Tukipta dua toka kwa wazee wa Kwadelo.

Wednesday, January 2, 2013

R.I.P Sajuki..

R.I.P Juma Kilowoko(Sajuki). Tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi.....