Tuesday, April 9, 2013

HAPPY BIRTHDAY DAYNESS

 Mdau wa Bongo Movie Daynes jana ilikuwa BirthDay yake iliyofanyika katika Pub ya Benny Kinyaia tuche mambo yalivyokuwa...

 Huyu ndiye Daynes  hongera mtoto kwa kuzaliwa upya..

 Mc Ben Kinyaiya.

 Odama na mpiga picha maarufu wa blog ya Odama jina kapuni..

 Saguda na Recho.

 Daynes pamoja na mdogo wake .

 Mwanamuziki wa band maarufu jijini Twanga pepeta naye alikuwepo kumpa sapoti mdogo wake Dada Daynes.

 Mambo yakiendelea wadau wangu..

 Ben Kinyaiya kwa keki wewe ni noma kweli haya bana hongera zako kijana wangu kwa kubugia keki.

 Weweeeeeeee.

 Maswahiba haooooo

ulifika muda wa mwnamuziki wa Twanga Pepeta James Kibosho kula keki.

Picha ya pamoja.

Monday, April 8, 2013

R.I.P STEVE KANUMBA


Mashabiki w Tasnia ya filamu hapa bongo, Jana ilikuwa siku ya kumkubuka marehemu Steven Kanumba The Great kutimiza mwaka mmoja baada ya kufariki kwake wasanii wenzake pamoja na mashabiki wa marehemu Kanumba pamoja na ndugu zake walifanya maombi ya kumuombea marehemu Kanumba katika kanisa la KKT liliopo maeneo ya Kimara Temboni na baada ya hapo kula chakula cha pamoja kama sadaka na baada hapo tukaelekea makaburini kabla ya kwenda kuzindua sinema yake ya mwisho inayokwenda kwa jina la LOVE AND POWER na kufikia tamati ya shughuli hiyo, sisi tulimpenda ila Mungu kampenda zaidi..

Tukiwa kwenye ibada Kimara Temboni..Steven Mengele(The Power)

Irene Uwoya

Hisani Muya(Tino)

Mambo yakiendelea..

Jack Wolper.

Bi Mwenda na wadau wakiwa katika ibada

The Greatest..

Johari na Kdadaa.

Mzee Chilo akiwa na Dk Cheni..

Cloud 112.

Watu walikuwa ni wengi sana.

Tukifuatilia ratiba kwa umakini..

Richard aliyekuwa Manager wa Marehemu Steven Kanumba akionge Machache juu ya marehemu.

Mama wa marehemu Steven Kanumba..

Wageni toka Ghana wakipata chakula, hawa madada ni waigizaji toka Ghana..

Elizabeth Michael(Lulu).

Ratiba za chakula zikiendelea..

Wadada wa Bongo Movie Unit..

 The Greatest nikiongea machache na Manager wa Marehemu nikiwa pamoja na Jb


Tukitoka kuelekea makaburini

Mmependeza sana Wadada zangu.

 Picha ya pamoja.

 Tukiwa tumewasili makaburini kwa ajili ya kupata sala ya kumuombea ndugu yetu Kanumba.

Majonzi..

 Sala iliaza na kila mtu alikuwa kimya kwa dakika kadhaa kwa ajili ya kumuombea marehemu.

Watu wakiwa kwenye hali ya utulivu. Sala ikiendelea.

 Mama wa marehemu akiweka  shada kwenye kaburi

 Lulu akilia kwa Uchungu pole sana mwanangu ndio maisha

 Mmoja wa wasanii kutoka Ghana akiweka shada

 Nana ni comedian kutoka Ghana naye akiweka shada

 Dada wa marehemu.

 Irene Uwoya.

 The Greatest nikiongea machche na Television ya Taifa (TBC).

 Cloud 112 akiongea machache kuhusu Steven Kanumba..

 Uwoya akiwa kwenye majonzi makubwa..

 Blandina Chagula(Johari) akiwa kwenye majozi.

 Wadau wa RJ Company pia walikuwepo, hawa jamaa walikuwa ni marafiki wa marehemu Steven Kanumba

 The Power akiongea machache.

Baada ya watu kutawanyika wasanii wa Bongo Movie unit walipata muda wa kufanya maombi kwa pamoja..

 Dr Cheni akiwa kwenye majozi.

 Mama wa marehemu(Mama Frola) akihojiwa na waandishi wa habari.

JB