Thursday, February 28, 2013

SHILOLE NDANI YA SOUTH AFRICA

Shilole akiwa kwenye jiji la South Africa(Deben) kwa ajili ya kufanya show ya kufa mtu. Ni dada anayejituma sana na mungu atamsaidia kufika anapopataka.
 Akifanya shopping ndogo ndogo  kwenye maduka mbalimbali...

 Ulifika muda wa kutumbuiza kwenye ukumbi mkubwa uliopo South Africa(Deben)..

 Shilole akifanya vitu vyake ndani ya South Afrika

Akiwa kwenye show mbili tofauti mwanamke nyonga babu weeeeeee... Hongera sana Dada yangu.

Wednesday, February 27, 2013

OMOTOLA AFANYA BIRTHDAY PART YA KUSHITUKIZA...

 With a heart full of warmth and appreciation he hugged everyone one after the other after which she asked for permission to go freshen up for the party. Banky W eager to serenade the actress
 Ulifika mda wa kukata keki. Omotola akiwa  na furaha kubwa sana ni kitu ambacho kilikuwa kama surprised kwa Omotola.

Bata zikiendelea..

Saturday, February 23, 2013

YANGA 1 AZAM 0


 Mashabiki wa yanga furaha zikiwatawala baada ya kuwatandika wana ramba ramba..

 Furaha zilitawala uwanjani.

 Baba Mage(Rado) na Jimmy Mafufu...

 The Greatest  nikiwapongeza vijana wangu wa Yanga...

Nini tena jamaniii...

 Yanga rahaa jamani

Amani ilitawala.

Friday, February 22, 2013

JCB AFUNGA NDOA.

Msanii wa Hip Hop kutoka kundi la WATENGWA ambalo maskani yao iko Arusha JCB, juzi aliuaga ukapela na kufunga ndoa na Diana Jorgensen pande za Arusha.

NOLLYWOOD

 Fans’ fear over Tonto Dikeh’s health

Thursday, February 21, 2013

WAVES OF SORROW

Waves Of Sorrow yaingia mtaani kesho tarehe 22/02/2013. Pata nakara yako bila kukosa.

UZINDUZI WA OFISI YA WEMA SEPETU

Haitmaye mwanadada ambaye kwa sasa anatisha kwenye game pamoja na mafanikio makubwa anastahili sifa na pongezi nyingi sana kwa kuzindua ofisi yake kubwa sana ambayo kwakeli ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wengine wa kike aliwalika wasanii wenzake baadhi na waandishi wa habari kwa ajilia ya kuwaatambulisha ofisi yake hiyo Hongera sana..


Wema Sepetu akiongea machache mbele ya waandishi wa habari pamoja na wadau walioalikwa

Dotinata wa kulia akiwa na Mama Mlezi wa Bongo Movie Unit Mama Rolaa Masai wakimsikiliza Wema kwa umakini mkubwa..

Wema pamoja na Mama yake Mzazi..

 Martin Kadinda Meneja wa Wema Sepetu..


Wema Sepetu

Muda wa maswali na majibu ulifika kwa waandishi mbalimbali wa habari..

Hiki ni chumba cha Editing.

Jikoni

Frank Andrew(Kibonge) Editor wa Endless Film..

Tin Daddy bila kukosa..

Waandishi wa vyombo vya habari mbalimbali wakipata matukio mbalimbali


The Greatest nikiwa nimeenda kumpa sapoti Dada Wema Sepetu..

Akijibu maswali ya waandishi wa habari..

JB naye alikuwepo umefika muda ya wewe pia kutupeleka ofisini kwako

Cloud 112

Millady Hayo mtangazaji wa Clouds Fm kipindi cha Emprifaya aliyevalia kofia..


Muda wa mahojiano na wasanii mbalimbali ulifika pia hapa Jb akiulizwa maswali kuhusu mtizamo wake kuhusu ofisi ya Wema ..

Cloud akiulizwa maswali na Zamaradi Mketema.


Mama Sepetu akiongea mchache juu ya Mwanae kipenzi.Mama na Mwana.

Mama Rolaa na Wema Sepetu..

Millady Ayo na Martin Kadinda.

HAPPY BIRTHDAY BATULI

Mrembo wa kiwanda cha sinema Tanzania Nesh Yusuph (LISA) aliangusha bonge la party katika Hotel ya Shamoll iliypo mitaa ya Sinza Lion katika kusheherekea siku yake ya kuzaliwa miaka kapuni kama kawaida ya wasanii wengi kukataa kutaja miaka yao, warembo na magentleman walikuwa wakumwaga wacha tuone mambo yalivyokuwa matamu..

Umati mkubwa uliudhuria Birthday ya Lisa katika Hotel ya Shamoll nikiwa pamoja  na Jb hapo tukitakari jambo kama mnavyocheki wenyewe wadau..

Mayasa Mrisho katika pozi..


Mariam Ismail mbona umenuna hivyo nani kakuudhi..

JB na The Greatest..

Pozii........... Inno Bchard na Shamsa Ford..

Kupa na Mwalubadu..

Mambo yalikuwa si mchezo siku hiyo watu walikunywa na kula bata saaaaaana 

Johari na Mtitu William.

Recho akiwa na Mke wa William Mtitu katika pozi la kibantu..

Kitasa na Simpe The Boy..

Johari na Batuli nilisikia fununu kwamba wanakaundugu hawa madada, wadau hivyo ndivyo mambo yalivyokuwa..