Baada ya kupata mafunzo ya kutosha toka kwa wataalam kutoka South Africa tukaanza kufanya practical
Vifaa!
Hapa wadau tukiwa makini katika kutengeneza scene kwa ajili ya wasanii wacheze na tuweza kufanya shooting ni sehemu mojawapo ya practical
Mambo yalianza namna hii nikiwa nyuma ya camera nikiangalia mambo yanvyoenda hapa nilikuwa director
Nikiangalia picha yangu kwa umakini mkubwa
Cheki mwenyewe kazi hiyo wadau kwakweli tulipata vitu vikubwa sana hapa tulikuwa tunatengeneza mwanga wa kumpiga nini kizee na mdio maana tukatumia hiyo filtrer ya rangi ya ugoro
Scene ikiendelea na watu wakiwa makini na wanachokifanya
Tukiwa kwa karibu sana ili kupata picha safi na ilo la nyuma linaitwa reflector ni special kwa ajili ya kuuchota mwanga kama unakuwa hautoshi
Picha ya pamoja huyu dada anaitwa Magreth ni mwakilishi wa Dstv pale Kenya ndiye anayepokea kazi zote za Tanzania,Uganda na Kenya penyewe na kuzipeleka South Africa na ndiyo tunaziona kupitia Africa Magic Swahili
Baada ya kazi kubwa tukapata maelekezo mengine toka mtaalam
Mambo yakiendelea!
6 comments:
Jamani ray si ufanye mazoezi upungue kidogo?au unapenda kuwa mnene ivo
kaka mi naumia sana kuona umeshndwa kutengeneza muonekano mpya wa mwili wako! Atleast uwe kama swahiba wako
Hii pia itakusadia sana... Sema tu hujajua umuhimu wake, kama celebrate!
Afu pia unpredictable na the shell unaonekana tofaut, jiulize usiseme tu watu wanaongea, washbk wako hao wanahtaji kuwa uwe fresh! Emmer matutu
umenenepa mpaka meno duhhh magonjwa sasa hayacheza mbali we subiri
Si kunenepa tu wadau, na hako kamkorogo alikojitupia..
U-celebrity si kuharibu muonekano bali kuuboresha, una rangi nzuri mdau, acha ujinga wa kutaka weupe!!
we ray hebu pungua bana urudie ule mwile ulokuwaga nao enzi zile za maigizo ya itv mana hiyo mishavu na tumbo kuna diabetic shauri zako. yani umevimba kila kona ni macho tu yamebaki punguza msosi..
duuuuuuuuuuuuu!!!! leo nilikuwa nacheki mikai ya salama eatv, kumbe mko tofauti na steven, dar inaniuma sana, aliye mkosea mwenzake asawazishe coz sio vyema kabisa... i love jamani.. nadhani source ni kauli yako kuhusu matangazo ya biashara haikuwa poa broo, bt its wrong 4gv me
emmer matutu frm mwanza
Post a Comment