Thursday, September 6, 2012

BONGO MOVIE YAFUNIKA SERENGETI FIESTA

 Kama kawaida ya Bongo Movie inapokuwa kwenye show mbalimbali ufanya mambo makubwa sana. safari hii Bongo Movie wamepata dili ya kuzunguka kwenye Fiesta mikoa yote kwa kweli imeleta picha mpya kabisa ya Fiesta show ya kwanza kabisa ilianzia Moshi, Samahani sana wadau ya blog hii kwa kuwa nilikuwa kimya kwa muda mrefu sana kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu lkn kuanzia sasa mambo kama kawaida maburudani ya kutosha karibuni tuone mambo yalivyokuwa...

Bongo Movie tukielekea kuhojiwa machache na waandishi wa habari, mbali na Serengeti Fiesta pia tulifanya kazi ya kutafuta vipaji vipya vya Bongo Movie na watu walijitokeza kwa wingi sana..

Aunt Ezekiel akiwa na The Power katikati na Wema Sepetu kwenye poziii.

The Greatest nikihojiwa machache na Millard Ayo kuhusu fiesta Moshi.

Tukijadili machache.

The Power akihojiwa.

Wema Sepetu.

Aunt Ezekiel akiongea machache.

Tukielekea kwenye viwanja vya Fiesta.

Wema kwenye pozi na mkoko wake.

Tukiwasili kwenye fiesta.

Mambo yakiendelea ndani ya mjini Moshi kwa kweli shoo ilibamba sana Hongera Clouds Fm kwa kuandaa matasha yenye kiwango..

Bata likiendelea.

Fataki zikipigwa juu kama ishara ya show kuzinduliwa rasmi.

Prezoo akiwa kwenye pozi na Wema Sepetu.

Ferooz akiwa na ............

Shetta.

Wachaa weee jinome mama.......

Mwana FA wa kwanza kulia na Prezooo mwanamuziki toka Kenya ambaye aliwakilisha nchi yake kwenye shindano la BBA

Bob Junio a.k.a Mr Chocolate ndani ya Fiesta Moshi.
Vijana wa THT wakiwa kwenye maandalizi.

Steve Nyerere (The Power).

 The Greatest nikiwa na vijana wangu.

Aunt na Wema.

 Goz B na KingZilla.

 Ulifika wakati wa Bongo Movie kufanya kazi yao bila kukosea.Washabiki walishangalia  sana baada ya kutuona on the stage nikiongoza jahazi la Bongo Movie.

 The Greatest nikiwa na Wema, akionge machache.

 Wema akitoa show kali.

 Show ikiendelea.

Kama kawaida yangu kufunika nashukuru sana mashabiki wangu kwa kunipa support on the stage.

The Power kamua ndugu yangu.........

 Mwenyekiti wa Bongo Movie  JB akitoa show kali.

 Baba na Watoto wake on the steg.

 Shetta.

 Linah.

 Mwana FA.

Prezoo akiwa kwenye maandalizi..

Makamuzi yakiendelea.

17 comments:

Anonymous said...

kwa mtaji huu inabidi Kofii akuchukue hata kwa mkopo Vicent.

Anonymous said...

leo tare 7 miezi 5 toka kaanumba atutoke...what dd u do fr him
1.kumuombea ktk sala zako za kila siku
2.kumuakilish sehem tofautkama fiesta
3.kwende kwenye kampuni yake na kutoa suppoti au kuwa tembelea location crew yake kuonesha upo pamoja
4. its your secrect

mwisho mbona hata huwa avertise movie yako mpya humu ndani woman of principle?

kaka vpmichakato ya kwenda international inaendeleaje.,,, coz ulipo enda china na nchi zingine mwanzano mwa mwaka huuu kununua vifaaa nilithani baaada ya soubing soung, woman of principle,sister marry grolly of ramadhan basi ungefocus kimataifa.. kama ambavyo swahiba wako alivyokuwa anafanya.. ivi unadhani kama yeye angekuwepo sasa angeshatoka marekani na kufanya ktu gani .. hii ingekusaidia na ww kumiza kchwa lakini sasa..sijui kila la heri na FIESTA NA RAFIKI YAKO ZAMARADI ASIYEKUPENDA
EMMA MATUTU

edwin said...

nampenda sn wema lkn sipendi anavyojichbua,aunt hajichubui anaonekana bomba na ngozi yk ilivyo soft. Realy like her

Anonymous said...

KANUMBA
aliwahi kujiita AY wa bongo movies maana ya kutangaza tasinia kimataifa baada ya kushirikiana na wasanii wa nageria
2.this is it
3.devils kingdom kuwania tuzo za kimataifa afri kama sijakoseaa

kwa sasa msaani wa bongo wa flovour AY anashiriki tuzo tatu za channel O, ILA KUBWA ZAIDI NI MSAANI BORA WA KIUME AFRIKA..

IVI HABARI KAMA IZIO TUTAZISIKIA LINI KWAKO KAKA YANGU..
au bongo movie unit na skendo za kutosha katika magazeti kiu, ijumaa, risasi ndo tuzo ambazo unawania sana...
ungejua athari zake ungethibiti hizo tuzo zako
AFU BONGO MOVIE UNIT
WEWE na JB HAMUWEZI KUKOSANA lakini cloud.. wema na ant ezkel... dakika mbili hamtaenda sawa hivyo basi kindi litabaki la watu watano mpka kumi mwisho

jamani umezeni vichwa sio kwenda kukati viuno FIESTA haiwajengi chochote,,,kila la herina dili za fiesta rughwe mtahaba
emmer matutu

Anonymous said...

MBONA HAUKO UP TO DATE?MAMBO YA FIESTA TUMEYACHOKA!WEKA HATA HARUSI YA MSANII MWENZIO ILIYOFANYIKA JUZI WE VIPI!

Anonymous said...

TUWEKEE VITU VYA KUELEWEKA MBONA UNAGANGANA FIESTA?KWANZA WATU WAKO HAO UNAOWAONYESHA ONYESHA HUONI KAMA WAMETOLEWA NISHAI MAGAZETINI KWA KUVULIA WATU!UNATUCHEFUA

Anonymous said...

mnafunika,na hao madada wa bongo movie kwa kujiachia ndio nini na viguo vyao vya kujiachia kiasi kikubwa,hizo nguo sio za kupandia jukwaani

Anonymous said...

shikamoo mkubwa na habar za kaz naweza kusema bro nakufagilia ile mbya na nina iman one day utakuwa msaada kwangu cz nina kipaj bt bro nilkuwa nikitafuta chnze mda mrefu cana ya kumeat nawe ila nakosa mfano mlikuja irng amapo tunaish ckuwepo bt jana umenifurahsha sana kupta kias ndan ya sokoine studium licha skupata chnze ya kumeat nawe licha niljarbu pongez kwako also nahtaj kufanya kaz na wewe mara nyng nmekuwa nikikutafuta kwene call trade ila cpokelew cal zang,pongez kwako mkubwa i real apliciate you much kuliko na nimeoneza idad ya mashabk huko mashulen

Anonymous said...

shikamoo bro na habar za kaz,naweza kusemaje bro n msanii pekee ninaekupnda kwasababu hata mm ninakpaj na ninaomba hapo baadae uje kuwa msaada kwangu kwasababu sasa wazaz wang wanapenda nisome licha wanatambua kipaj chng lait km wazaz wng wangeniruhusu na iman ungekuwa umeshanisaidia kwasababu naamin naweza ila nimekuwa nikikutafuta kwa mda mrefu sana kwa kukucal kwene call trade ila mda mwngne hazpokelew na hata zkipokelewa wananiambia haiwezekan na hata ulipo kuja irnga ambapo cikuwepo iliniuma sana niliona kama nimechezea bahat ya walau kunitambua tu nilkuwa mbya masomon ila mbal na hapo hamna siku niliofurah kwasababu ya kunifurahisha kama jana na kukukona live ndan ya sokoine stadium licha ckuweza kumeat na wewe mlikuwa tyt ila ukwe ndo huo naomba tufahamiane na tufanye biashara,much respect to u bro vincent kigos"the greatest"

hudson sweetbert samamba said...

hoz is u bro i try much how to realease my feelings on ur work for anyway but no successful bt its beter to knw much respect to u also nataka kuwa mtu wako wa karbu na ninahtaj tufanye kaz na nmefurah jana kukuona sokoine live ila ckupata chnce iliniuma sa

hudson sweetbert samamba said...

noumah

Anonymous said...

bro hatar tena noumah

Anonymous said...


mbona hubadilishi matukio, au umefulia nini? au Kanumba kaondoka na mikoba yako nin? maana unaonekana umeishiwa kabisa toka kanumba adedi

Anonymous said...

RAY UNAMATATIZO GANI BWANA HAUTUWEKEI JIPYA LOLOTE NI MWEZI SASA. CHANGAMKA BWANA, UNANIBOA NA MI NI MPZ WA HII BLOG, WEKA MATUKIO TAFADHALI HAWA WATU SIE WENGINE TUKIWAONA NI................

Anonymous said...

KITU CHA KWANZA WW RAY MNAFIKI MKUBWA! NDO MAANA ULISHIRIKIANA NA LULU KUMUUA KANUMBA KIPENZI CHETU! KAZI KUONGOZANA NA MICHANGUDOA KWENYE FIESTA! BADO NA WW IPO SIKU UTAMFUATA KANUMBA! ETI UNAVAA TISHETI YA NEMBO YA KANUMBA! MSONYO FFFFFFUUUUUUUUUUUUUUUUUUH

Anonymous said...

nenda basi katoe ushahidi mahakamani we ANONYMOUS October 13, 2012 7:50 AM.

Ray mpuuzie huyo askupe headache huwezi ukamuelewesha kila mtu akakuelewa....

Anonymous said...

wewe unayejiita the greatest yaani ckupendi kama nini kwanza movie zako nilishaacha kuangalia kitambo sana kiukweli me co fan wako yaan mnaniudhi we midada yenu mnaojifanya vioo vya jamii wakati mnahaharibu jamii,toka mshindani wako arest in peace huna lolote zaidi ya ziara 2;hebu pevuka akili kama mwenzio alivuka boda bt wewe ni ujinga 2 me sikuo\pendi hata kidogo