Monday, October 29, 2012

SEND OFF YA AUNT EZECKIEL

Jana ilikuwa ni siku kubwa sana kwa msanii maarufu wa filamu Tanzania Aunt Ezeckiel baada ya kufanya Send of yake  ndani ya Serena Hotel iliyoambatana na sherehe ya kuzaliwa kwake wasanii wengi wa Bongo Movie walikusanyika kumsapoti ndugu yao huyo, kwa hiyo wale wakwale wanaopenda kudoea vya watu wafyate mikia yao kwani sasa Aunt ni mke wa kijana wangu Sunday anayeishi mjini Dubai itakapofanyika rececption yao hongera sana dada yangu

Cloud akiwa na Bibi Harusi dada yetu Aunt wakipata picha ya kumbukumbu..

 Tukiwa ndani SERENA tukimsubili Bi Harusi hawasili ndani ya ukumbi.

 Bi Harusi(Aunt) akiwa ndio anawasili ndani ya ukumbi huo kwa mbwembwe kubwa sana.

 Bi Harusi akiwa tayari akiwa amefika sehemu yake maalum iliyoandaliwa kwa ajili yake huku akiwa kazungukwa na wapambe wake

 Flowersssssss

 Wema na Jack Wolper

 Davina (wa kwanza kushoto) Cath Rupia (wa katikati) na Mama Eriethy

 Maya na Chuchu Hans.....

 Odama

 Mr na Mrs Cloud...............

 The Greatest nikiwa na kijana wangu....

 Ulifika muda wa kwenda kukabidhi keki kwa wazazi.....

 Akikabidhi keki kwa wazazi wake kwa adabu kubwa sana....

 Akiwa ameongozana na shemeji yake kwenda kupata chakula.

 Aunt akiwa kwenye vazi jengine kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa. 

 Maandalizi yakifanyika..

 Ratiba ya kukakata ndafu ikiendelea!

 Mmependeza.....

 Wema akiwakilisha wananawake wa Bongo Movie kwa kula ndafu....

 Cloud pia akiwaakilisha wanaume wa Bongo Movie.....

 Ulifika mda wa burudani ...

 Wachaa we.......

 Batuli akitoa show....

 The Greatest nikiwa na Da Natasha katikati na JB mwenyekiti wa Bongo movie...

 Mambo yakipamba moto..

 Recho Saguda wacha weee..


 Burudani ikiendelea..

 Maya hayuko nyuma naye...

 Mainda..

 JB

Steve Nyerere..

The Greatest

13 comments:

Anonymous said...

jaman aunty ezekier amependeza sana tunakutakia maisha mema ya ndoa yako jamani..........................

Anonymous said...

Yaani kwangu ni wawili tu kwa wanaume umependeza sana wewe Mr greatest kwa wanawake ni Batuli Bibi harusi simuhesabu kwa sababu ni lazima apendeze.

Anonymous said...

He he he wolper ukatika au unafanya Mazoezi kiuno hakiendi mpaka ukae kiaina wachaga na nyonga wapi na wapi katafute hela mangi mwenzangu sasa mama diamond (wema) mbona hujavutia kulikoni halafu wenzenu wote wamevaa sare nyie wawili hamjavaa ndio nini? Ushamba tu muwe mnaangalia Harusi za mastaa wa Nigeria sare zinapendezesha ujuaji mwingi mwisho mnaonekana kituko wenzenu wamependeza hadi raha hasa dada batuli,ray,cloud funika bovu hao mliovaa nguo fupi poleni niwe mnauliza Harusi mwenzie gauni refu

Anonymous said...

Umoja ni nguvu vizuri sana kushirikiana katika nyanda zote Ray umetokelezea sana Maya na Batuli nao sio mchezo wametokelezea kinoma hao masupa ushuzi ndio kichefuchefu jackline Wolper mchaga hujui kuvaa wewe ndio nini nguo fupi harusini muwe mnauliza mnachekesha wanaojua maana ya Harusi na vazi lake wema nilitegemea kukuona umevaa gauni la Harusi sio hilo la kuendea hunters Nywele mbayaaaaaa kiufupi hata picha msingepiga

Anonymous said...

jaribu kutumia kauli au maneno mazuri yenye maana kwani ugomvi,, na fans wako..
ulipendeza hongera
emmer

Anonymous said...

jifunzer hapa kwa story na scipt writer
opra
behind the scene
dengerous desire
cold wind
fair decision
shakira
revenge
yellow banana
woman of principle
pretty girl
offside
groly of ramadhan..ant yangu alipendaa hiii coz ni mtu wa swala tano
movie ambazo i believe hata anaekuchukia alikukubali....uwe unauliza mashabiki zako utakuwa unapata mawazo tofauti..usisubiri events
story nzuri na script writer walikuwa na ubunifu baazi ya movie
emmer

Anonymous said...

et kweli umetoboa sikio kabisa star wetu???


umechonga nyusi za macho zidi hata ya wema na uwoya ushaidi kwenye cover page ya SOBBING SOUND
lengo lako nn sasa????

ushakuwa mtu mzima sasa wakina diamond. rich mavoko na wakongo wanaomba mabendi wafanye nn?

Anonymous said...

umechonga nyusi za macho zaidi hata ya wema na uwoya ushaidi kwenye cover page ya SOBBING SOUND
lengo lako nn sasa????

ushakuwa mtu mzima sasa wakina diamond. rich mavoko na wakongo wanaomba mabendi wafanye nn?

Anonymous said...


vp kuhusu kujicream kuna ukweli...
mashaka kwenye the SHELL

ushakuwa mtu mzima sasa wakongo wanaomba mabendi wafanye nn?
TATIZO NAO MARAFIKI SANA

Anonymous said...

KUHUSU KULINGA NA KUISHI KAMA MFALME...
KANUMBA MTAANI KWAKE MARA MOJA MOJA..ALIKUWA ANAKUNYWA SODA NA KUPIGA STORY NA WATOTO WA KITAA


kijifunza hilo angalia hilo kwenye kipind cha lady jaydee cha diary yangu uone anavyoishi na jamii yake

Anonymous said...

vipi kila msaani anyehojiwa wa movie tanzania anamkubali JB... ETI WW ULIKUWA MPINZANI WA KANUMBA ina sura gani kwako

hata yule demu ulikuwa unamsifia kwenye blog yako anajua kuigiza naye anakudiss
umemshirikisha kwenye handsome wa kijj kama mpenzi wako

kila mtu JB JB JB JB......

Anonymous said...

tunasubiri picha za dubei wewe maana tumepata taarifa kuwa wewe ndo umewakilisha bongo move wewe na JB. fanya kweli sisi wadau tunasubiri tuone mambo

Anonymous said...

oya ray vp mbona kimyaaaaa! au hujui kuna watu haipiti siku bila kuangalia hii blog?????