Monday, December 3, 2012

IRINGA


Hivi karibuni Bongo Movie tulivamia Mkoa wa Iringa kwa ajili ya kucheza mechi na Waandishi wa habari wa Iringa kwa madhumuni ya kumchangia ndugu yetu mpendwa Juma Kilowoko( Sirjuck) ili haweze kwenda kwenye matibabu yake ya mwisho Nchini India, kwa kifupi tulifanikiwa kwa kiasi chake si kikubwa wala kidogo lakini Mungu ndio muweza kila jambo tuna mpango wa kwenda mikoa mingine kwa ajili ya kufanya kitu hicho embu twende tukaone mambo yalivyokuwa.......

Njiani kuelekea Iringa....

 Interview E Born Redio kwa ajili ya mtanange huo wa kukatana na shoka..

 The Greatest nikiongea machache.

 Odama...

 Richie na Recho  wakiongea juu ya ujio wa Bongo  Movie Iringa.

 Cloud.

 Kitale..

 Tino.

Warembo wa Bongo Movie..

Sirjuck na mkewe Wastara tayari kwenda kwenye mechi.

Mtanange ukaanza wadau, hawa ndio vijana wa Bongo Movie wakipasha misuli


First Eleven ya Bongo Movie Unit iliyo mwaga cheche zake Mkoani Iringa..

Benchi la ufundi likiwa makini kufuatilia mchezo unavyokwenda

Chuchu Hans msanii wa kike toka Bongo Movie.

Odama na Rechel

Shangwe zilitawala.

Half Time The Greatest nikitafakali jambo.

Kocha Mkuu Bongo Movie Unit Single Mtambalike (Richie) akiongea machache wakati wa Half Time.

Mzee Yusuph naye akitoa yake machache aliyeyaona kipindi cha kwanza.

Mawazo ya Kocha Mkuu yaliweza kufanya mabadiliko uwanjani tukapata bao la kwanza.

Wadada wa Bongo Movie wakishangilia ushindi

Mpaka mwisho wa mchezo Bongo Movie 2 na waandishi wa habri 2 hivyo ndivyo mambo yalivyokuwa wadau wa blog hii..

No comments: