Wadau tulipata bahati ya kwenda kutembelea Kigali Genocide Memorial katika ziara yetu Nchini Rwanda kwakweli tumejifunza vitu vingi sana Watanzania tupendane na tueshimiane tusiwe na mambo ya udini wala ukabila maana vita ni kitu kibaya sana usikie tu kwa wenzako na sio nchini kwako tudumishe amani tuliyokuwanayo Watanzania, ukifika hapa ndio utajua ubaya wa vita embu tucheki mambo yalivyokuwa tulipotembelea maeneo haya ya kumbukumbu uliyosababishwa na vita vya ukabila..
Trafiki aliyekuwa akituongoza kwenye msafara wetu jamani uko tulikuwa kama viongozi wa Nchi niu mwendo wa eskoti ya police yani wanyarwanda wanajua maana ya msanii ni nani maana tulipewa eshima kubwa sana nchini humo
Tukiwasili maeneo ya kumbukumbu na huo ndio msafara wetu wadau..
The Greatest na King Majuto..
Tukisalimiana na baadhi ya viongozi wa kampuni ya Steps...
Irene Uwoya akisalimiana na Jay toka kampuni ya Steps...
The Greatest nikiteta kitu na Irene Uwoya.
Hii ni sinema iliyotengenezwa na Steps iliyofanyika nchini Rwanda ilizinduliwa rasmi nchini humo siku ya Rwanda Film Awards ilikuwa inzungumzia mambo ya Gnocide...
The Greatest
Tukielekea kwenye makumbusho..
Hapa tukipata maelekezo toka kwa wenyeji wetu kabla ya zoezi kuanza..
Baada ya kupata maelekezo hayo tulianza kwenda eneo la kwanza ambalo kuna maiti zilizokaushwa na madawa kwa ajili ya makumbusho ya kuwaambia Wanyarwanda kwamba vita sio kitu kizuri...
Hapa ndio sehemu yenyewe yenye maiti hizo..
Tukipata maelezo toka kwa mtaalam wa sehemu hiyo..
Mambo yakiendelea...
Mwanzo kabisa zilikuwaga zipo wazi lakini baada ya kuwaona Wanyarwanda wengi wakienda kutizama walikuwa wanalia sana na kuzimia wakaamua kuzifunika na mashuka , wadau hizi ni maiti.
Tukiweka mashada kama ishara ya upendo na kuwaombea kwa Mungu wapumzike kwa amani..
Jb akiweka mashada..
King Majuto naye akiweka mashada..
The Greatest pia niliweka mashada
Irene Uwoya..
Tukielekea maeneo mengine ya makumbusho.
Hapa tukipata maelezo jinsi vita vya wenyewe kwa wenyewe vya ukabila jinsi vilivyoanza..
Picha mbalimbali za matukio yaliyotokea..
Vita ni mbaya sana.
Watoto wadogo wengi walikufa kwenye vita hivyo ni simanzi kubwa sana wadau..
Baadhi ya mafuvu binadamu yaliyosababishwa na vita hivyo
Nikisoma baadhi ya kumbukumbu..
Tukijiandaa kuondoka
Mapaparazi hawakuwa nyuma kunioji niliyoyaona katika makumbusho hayo
Tulimaliza na kurrudi hotelini
3 comments:
daah....so so freesh
...mwanangu u luk sexxy tham u ever been....maintain body iyo kaka usiongezeke tena mavitambi yanapoteza mvuto....ni hayo tuu
Link kwenye Twitter au Facebook kupanua blog yako jambo la 2 nawapa hongera kwa tour ndogo la tatu naomba kutoa advice kwa dada yako Uwoya. Maisha ya film ukiyaheshmu na nayo yatakupa heshma kubwa hapa Nina maana kubwa sana tizama mlikoalikwa umemuona Yule actress aliyepewa tuzo She is very very pretty. Hata dada yako Uwoya alikuwa kama yule au zaidi ya yule. Uhuni ni chanzo cha kuporomoka kwa uzuri na wa Star wetu huyu nimewahi kumshuhudia sio chini ya Mara 4 akiwa kalera na kila nikikutana nae anakuwa na sampo ya mwanaume mwingine aibu kabisa tena huwa anaongozana na dada flani mweusi au kaka flani hivi anapua kubwa tena nae msanii wa film. Vincent Kigosi kazi mnayoifanya ina heshima kubwa Duniani kote. Ogopeni jamii kwa sababu bila ya sisi hakuna Movie. Tunaotoa hela zetu kununua kazi zenu ni sisi. Toeni tongotongo machoni kwa kusafisha uso na maji sio kwa kuvaa miwani kama mfanyavyo. Kumbi za starehe ni zile zile, Bar ni zile zile halikadhalika Hotel ni zilezile hivyo tunashuhudia mengi yanayovunja nguvu kwa hao wasanii wenu wa kike ingawa sio wote. Nasema hivi Irene Uwoya, Aunt Ezekiel na Jackline Wolper hawafai katika jamii nibs Ushahidi nao wa macho kwa macho kwa kweli huwa hatuamini tuyaonayo. Nimewahi kumshuhudia Jackline akimfanyia mewanamke mwenzie vitendo vya aibu nikajiuliza wamelewa? Je hawaoni watu? Au wanaigiza? Sikupata majibu. Aunt ambae kama sikosei ameolewa nae sikuamini macho yangu nikapatwa na kigugumizi nikajiuliza ameachika? Maana nilimkuta na rafiki yangu tena akipika na kupakua nikanawa mikono kwa niliyoyaona nyuma ya pazia. Mnaelimisha kwenye Movie halafu mnaiteketeza jamii kwa matendo yenu. Mugopeni Mungu. Call me Mr Simon Mbuja
Mr simon mbuja nakupa mkono wa dhati 100%
Post a Comment