Friday, July 6, 2012

THE GLORY OF RAMADHANI COMING SOON

Wadau na sinema za RJ Company napenda kuwafahamisha kuwa nimeamua kutoa movie hii ya The Glory of Ramadhani kwa ajili ya mwezi mtukufu unaokuja hivi karibuni , lengo ni kufikisha ujumbe kwa ndugu zangu Waislam kwani si waislam wote wanaenda misikitini kusikiliza mawaidha basi kupitia sinema hii watu watajifunza mambo mazuri ya kumpendeza Mungu hii si ya kuikosa, maasusi kwa mwezi mtukufu lini itatoka? ni kabla ya siku tatu kuingia kwa Ramadhani..


 Huu ndio mwanzo wa The Groly of Ramadhani ni filamu ambayo tuliweza kuifanya kwa umakini mkubwa sana ili watu wajifunze kutenda mema kwa miezi yote kumi na mbili na si mwezi mmoja..

 Kazi imeanza..

The Greatest nikiwa na vijana wangu kazini.

Mambo yakiendelea kupamba moto wadau huu ni mzigo hatari wenye mafunzo ya kutosha

 
 Chuchu Hans on set

 Chuchu Hans pamoja na Dura wa kipindi cha Planet Bongo wakiwa on set huku The Greatest nikiwapa maelekezo jinsi scene inavyotakiwa kuchezwa, wadau huyu kijana Dura ni tunda la baadaye litakalokuwa bora kwa miaka ijayo kama unabisha nunua mzigo huu utaamini nachokisema

 
 Angalieni vijana wanavyofanya kazi.

Chuchu Hans akiwa na Dulla kijana huyu anakuja vizuri anaweza kuja kuwa Kanumba wa baadaye

 Kazi ikifanyika.

 Tukiwa nje ya mji.

 Mimi sisemi cheki mwenyewe watu walivyo makini na kazi zao hii ni moja ya scene ambazo watu wengi waliikimbilia kwa ajili ya futari sikupata tabu sana kupata exttra..

 The Greatest nikiwa na Neshi katika The Groly of Ramadhani wadau nimetimiza yale mliokuwa mkiniambia kuhusu huyu dada kuwa mnahitaji nicheze naye sinema haya bila nyinyi mimi nisingefika hapa hivyo sina budi kuwasikiliza katika mambo mazuri mnayoniwazisha

 Neshi na Bachard.

 Neshi akikamua.

The Greatest na Nesh on set tukifanya vitu

Hii ni scene ambayo ilikuwa ngumu sana kuitengeneza..

 
 Kila jambo lina wakati na huu ni wakati wa The Glory of Ramadhani.

 Tuliweza kupata location zenyewe kama mnavyotuona.

Asante Mungu kwa kunitia nguvu kwa kuweza kuendelea kuelimisha jamii kwani Mungu baba hii ni kazi ulionichagulia mwenyewe na ndio maana unabariki kazi ya mikono yangiu.

Sunday, July 1, 2012

TAMASHA LA GRAND MALT LILOFANYIKA TANGA

 Kawaida ya Bongo Movie kufanya kazi za kijamii ni kawaida yao, timu nzima ya Bongo Movie walivamia mkoa wa Tanga katika tamasha kubwa la Open Film Festival linaloandaliwa na kampuni ya Sofia Production. lakini mbali na tamasha hilo bongo Movie alitembelea hospital ya Bombo kwa ajili ya kuwaona wagonjwa pamoja na kutoa misaada mbalimbali acha tuone mambo yalivyokuwa..

Timu ya Bongo Movie wakiwa tayari kwa  ajili zoezi zima kuanza..

 Wana Bongo movie wakiwa wanjiandaa kwenda hodi za wamama wajawazito.

The Greatest nikiwa na Rose Ndauka.

 Watoto mapacha.

 Odama akimtazama mtoto aliyezaliwa karibuni.

 JB akitoa chandarua kwa mama mlezi.

 Tukifunga chandarua

Baada ya hapo tuliekea kwenye tamasha..

 
 Wakazi wengi wa Tanga walifurai sana kutuona.

 The Greatest nikiongoza msafara

 The Greatest nikiwa na Cloud na Mwenyekiti wa Bongo Movie.

 Mgeni rasmi wa katikati akiwa na wadhamini wa tamasha hilo

 Recho Haule na Richie.

 Sandra na Odama.

 Hatman akiwa kwenye pozi...

 The Power.


 Watu walikuwa ni wengi sana.

Bongo Movie katika stage kusalimia wananchi wa Tanga waja leo kuondoka majaliwa.

Kazi imeanza

 
 Nikipiga kinanda..

Mc Chiki Mchoma..

 Odama akitoa show kali.

 Wacha weweeeeee.Rachel haule

 Cloud

 Richie

 Ulifika mda wa The Greatest kufanya show.

 Watu walishangilia sana.


 Kupa akikamua.

 Uwoya aliweza kutufungia show yetu.

Mgeni rasmi akitoa hotuba kuhusu tamasha

 
 Mgeni akiongea machache baada ya Bongo Movie walipomaliza kufanya show

Meneja masoko wa Grand Malt naye akiongea yake machache

 
 Cath na Mariam.


Mambo yakiendelea