Haya wadau wa town kuna kitu kipya kinakuja kuteka na kukamata jiji katika upande mzima wa sehemu ya  kupumzika kuna sehemu mpya inaitwa KONFA BUSINESS LODGE ni sehemu nzuri sana iko mitaa ya Mbezi Beach kwa maelekezo zaidi nitawafahamisha vizuri na inategemewa kufunguliwa wiki mbili zijazo ni sehemu nzuri sana na bei zao ni poa sana  karibuni sana
 Cheki geti ilo lakisasa kabisa wewe mwenyewe sema mimi sisemi
 RECEPTION
 Maandalizi yanaendeleaaa
 Chumba cha kulala
 Bafu, ni hatari sana jamani duhuuuuu
 Urembo wa kutosha ndani ya BUSINESS LODGE
 Simu ya chumbani ukitaka uduma
 Jamani hapa ni bongo wala si ulaya kila kitu sasa hivi kinapatikana bongo 
 Tv ya kuangalia baada mihangaiko ya mchana kutwa
 Mandhari ni nzuri sana jamani 
 The Greatest nikikagua baadhi ya maeneo
 Mambo yakiendelea
 Kiooo
 KONFA BUSINESS LODGE
 Kwa juu panavyoonekana
 Sehemu ya kupumzika ukiwa na mwenza wako
 KONFA BUSINESS LODGE
 Kiti cha massage
 Chumba cha nguvu
 Koridoni
 Geti
 Urembo wa kutosha maeneo ya BUSINESS LODGE
 WELCOME
 Bar
 Kwa nje panavyoonekana
 Mazingira safi sana
 Sehemu ya kupata moja baridi moja moto
Mzani wa kupima uzito baada ya kutoka msalani
10 comments:
brother Visent umenichekesha hadi nimepata nguvu ya kumalizia ripoti mana nilikua nishachoka, mizani ya kupima ukitoka chooni????, daaah hiyo kali, tufanyie mpango na sisi tunaofanya kazi bank tuwekewe mizani mlangoni saa ya kutoka kazini si unajua lazima tunakua tumepungua kwa mijikazi brother, blog yako nzuri inaniliwaza sana sana sana, mida kama hii nikiwa bado niko job napumzika kwa kuangalia nini kinajiri kwenye blog yako then naendelea na kazi. hongera sana kwa kazi nzuri unayofanya, your the best, no one like you in TZ
kaka hi lodge ni ya kwako?au kuna investor?
kaka mbona inaonekana jina lake ni comfot business lodge?embu rudi tena kule ukaulize vizuri mdogo wangu
Jamani kam ahii Lounge ni yako good for you, me like it, you are one step ahed, Mungu akutangulie kwa kila jambo Amina
Ni yakwako weka wazi? Kama yako hongera.
Contact zao tupe ili nasi wapiga box tuje tufikie hapo
kam sio yako,, duu hi zaidi ya tangazo sijui wamekulipa kiasi gani coz umehusika zaidi,,, real advertising... emma matutu
kaka hii ni yako nn? du nzurii saaanaa hongeraa,tupe namba za simu tuje tujiliwazee..kama tuko mtonii,ama kweli bongo NewYork...hongera sana kaks uko juuuuuuuuuu!!! hawakuwezii hawakuwezii
DU HII NGOMA IKO POA MNO MPAKA NATAANI TU HATA NIIONE KWA MACHO , HAKUNA KINACHOSHINDIKANA CHINI YA JUA DU.
sasa tutajuaje hwo much per day. na iko sehem gani? AU Show off tu
Post a Comment