Wednesday, January 4, 2012

SHILOLE AWEKA GUMZO KATIKA TAMASHA LA AIRTEL BONGO 50 JIJINI DAR ES SALAAM

...mtoto hatumwi dukaniiiiiii


Mambo ya mwanadada Shilole akiwaimbisha kwa shangwe wapenzi na washabiki wa muziki mbalimbali waliofika kwenye tamasha la Airtel Bongo 50, ndani ya viwanja Leaders Club Kinondoni jijini Dar mwishoni mwa wiki,ambapo wakazi wa jiji hilo na vitongoji vyake walijumuika pamoja katika mpango mzima wa kuuaga mwaka kwa shangwe.Tamasha hilo limedhaminiwa na kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, kupitia huduma yake mpya ya Airtel Money.

...shughuli ilikuwa kali...
...ni mwendo wa churaaaaaaaaaaaaaaaa
...eheeeee!
...Msanii wa kizazi kipya Q-chif akimpandisha mzuka mcheza show wa mwanadada Sholole katika tamasha la bongo 50 lililoletwa kwenu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, wakifurahi kwa shangwe ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
...jiachie mwanangu....kazi kwao
...Ilikuwa ni full burudani kwa wale wapenda mauno...cheki mtoto akiachia nyonga
Msaniii wa kizazi kipya TID pamoja na Ngwear wakijiachia katika tamasha la bongo 50 lililoletwa kwenu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, wakifurahi kwa shangwe ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
...Wasanii wa kizazi kipya Jay Mo na Mchizi Mox wakiwasha moto katika tamasha la bongo 50 lililoletwa kwenu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, wakifurahi kwa shangwe ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Msanii wa kizazi kipya Jay Mo na Jaffarai wakitema fire katika tamasha la bongo 50 lililoletwa kwenu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, wakifurahi kwa shangwe ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
...Dj Bullah akishusha vitu... aiiiiiiiiiiiiiiiii jamani Bullah
Msanii wa kundi la Mabaga Fresh, DJ Snox akiwasabahi mashabiki wake.

Sir Juma Nature akiliongoza kundi lake la Wanaume Halisi kutoka Temeke.
...Stopa nae alikuwepo kutoa shangwe
...King Kong....
...Hata sisi tulikuwepo
Kijana wa Sala Sala akiwajibika stejini
...Show love nayo imo!!!!!!!!!!!

1 comment:

Anonymous said...

Oooh!hyo khanga ndembendembeee