Baada ya kazi za mchana kutwa kutafuta mavifaa tukaenda kupata lunch kama kawaida katika kipengele cha misosi sifanyagi makosa
Cheki misosi ya nguvu hiyo
Kuna yule jamaa niliyeambiwa kuwa huwa achagui chakula aliagiza matunda akaletewa matunda yanayochemka na kutokota kama unapika makande, hapa alichemka .
Baada ya hapo tukaenda disco kupata burudani za kutosha, ile njemba ndiyo hiyo hapo ilioagiza hayo matunda
Ukumbi unavyooneka maridadi kwa kwanja za kutosha
Bahati nzuri tukapata mwenyeji wa kibongo anayeishi China, Mwanadada huyu anaitwa Husna ni matata sana
Mambo yakiendelea kupamba moto cheki mwenyewe mambo hayo
Mrembo akiteta jambo na The Greatest
Nikiwa na marafiki zangu tukipoza maumivu ya mchana kutwa na burudani mwanana huyu jamaa wa kati anaitwa Choba ana vituko sana, katika kipengele cha uchezaji muziki ni bingwa wa style za ajabu..
Balaaaaaaaaa jamani
Upande wa vinywaji ulikuwa hivi.
6 comments:
Ni kweli unachjichubua acha kupaka mkorogo kaka. ushamba unakusumbua
hilo jimama linajiuza hongokong balaaa duh !!! kapeleka ku... yake kwa wachina, na wewe hujichubui kweli ? maaana ray we mwenyewe jiangalie ulivo sasa na zamani au ndo pesa hiyo ? haya sie yetu macho
Kitu cha JD kinahamasisha mezani hapo enjoy kaka ila acha the mkorogo
Acha ushamba Dogo Be Gentleman,
chobaaa aah haya kaka we jilie tausi mana hili wala sio bata
Du na nyie kinachowauma ni nini?Ray ni mweupe so akipaka tu lotion ni lazima ang'ae acheni wivu.
Post a Comment