Tuesday, January 24, 2012

THE GREATEST NDANI YA CHINA

 Kama kawaida wadau wangu nilivyowahidi kuwa nitawaletea matukio ya uku niliko, Cha kwanza kabisa nimekuja uku kwa ajili ya kuongeza vifaa vya kampuni ili mwaka huu tufanye mapinduzi makubwa katika tasnia yetu. Mimi sisemi sana wewe mwenyewe utajionea  mambo yatakavyobadilika mwaka huu,pili kuna sinema nayotegemea kupiga katika nchi hizi tatu nilizowatajia China,Hong kok pamoja na Thailand katikati ya mwaka huu twende pamoja.

 Hapa nikiwa na mshikaji wangu Choba katika maswala mazima ya kununua camera za still picture

 Hapa pia nikiwa na kijana wangu Kounja, huyu kijana jamani hachagui chakula chochote yeye poa tu mpaka supu ya nyoka kijana twende ni hatari sana huyu kijana cheki anvyonikata jicho

Ili ni soko kubwa la simu ni original tu hakuna feki lakini ukitaka soko la feki nalo lipo pia

Baadhi ya mizigo yangu ikiwa ipo katika chumba nilichofikia

Kama kawaida mambo yakipamba moto

Wadau chumba changu kilikuwa kiko lafu sana kwa ajili mizigo ilikuwa ni mingi sana


Hapa nikiangalia camera ya still picture nikipata maelekezo kutoka kwa mtaalam toka Congo niliyekutananae uko uko wa katikati ,kwa kweli akinisaidia sana...


Mizigo yangu ikiwekwa sawa na wachina wenye duka hapo hakuna boss wao ndio wauzaji na wao ndio wafunga mizigo,Hawa jamaa wapo makini sana na kazi na ndio maana sikuku yao ya mwaka mpya wanakaa mwezi mzima bila kufanya kazi yoyote kama muda huu ukienda China utakuwa umepata hasara hakuna duka la shughuli yoyote inayoendelea kwa sasa..

Picha ya pamoja  rafiki yangu Choba na wachina wenye duka

The greatest naye akipata picha ya kumbukumbu

Nikikagua vifaa ukiingia kwenye duka ili ukosi kitu cha video production

Hapa ni hatari wewe angalia mwenyewe .

Dolly nimenunua hela nyingi kidogo ni special kwa ajili ya shorts flani hivi ambazo mtaziona kwenye movie mpya ambazo nitawatajia

Taa mpya pia nimenunua kwa ajili ya kuongeza ubora hizi ni taa bora sana kwa matumizi yetu

Upande wa camera

Duka zima linavyoonekana sijui hata haya maandishi yana maana gani?kwa ndugu zangu wachina watakuwa wanajua maana yake. Haya ni baadhi tu ya matukio bado mengi  nitawaletea na usiku huu nategemea kuondoka kurudi bongo hapa napowablogisha nipo uwanja wa ndege

12 comments:

Anonymous said...

nimependa raba zako ray

Anonymous said...

Kaka, Hong kong ipo katika nchi ya china, Sio kwamba ina jitegemea.

Anonymous said...

Ray nakukubali, your hard working guy....Umeshatoka Mshukuru Mungu and do the right things. Mdau from Arusha

Mwashilindi F said...

pamoja sana The greatest! naikubali kazi yako! tupo pamoja

Anonymous said...

hongera sana ray! pia Mungu akutangulie usafiri salama.naomba nikuulize jambo moja na unijibu!!! unajichubua ili iweje hasa?jiamini wewe ni handsome pia mwanaume anasifia kazi wala sio sura,nakupenda ndo maana nakuonya

Anonymous said...

Hongera sana Bro.
Mungu akuzidishie zaidi.
Janeth from Morogoro

Anonymous said...

acha kujikoboa uso ray, rangi yako ni nzuri sn asikudanganye mtu, hayo unayopaka yanakuharibu tu. otherwise hongera kwa manunuzi

Milka Richard said...

Hongera sna Ray,tunategemea ubora zaidi ktk kaz zako.Mungu akutangulie na aibaliki kazi yako.
Milcah!

Anonymous said...

CONGRATULATIONS

Anonymous said...

mmh Ray mkongo??mbona kujichubua?Kila la kheri kwenye kazi zako

Anonymous said...

Hhhhh

muddy washington said...

wenyeji wako walikupeleka skumvit na patpong nini ndio maana umepata kigugumizi cha ukubwa kuhusu maadili?kawaida sana hiyo dogo huko,hujakutana na wale "wanawake" wenye sauti nzito?